Habari wakuu,
Naomba kujua ,kuhusu issue za fixed account Nmb bank,
Nimeskia skia kuwa rate inaanzia 5% to 9.5% per year
Sasa nataka mwenye ufahamu wa hz rates zao atolee ufafanuzi
Kuanzia 1000,000 to 10,000,000 kwa mwaka. Rate ikoje kwa mwaka
Asanteni