ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
Leo umeamua kuja na kila aina ya thread???????
Did you mean muhammad Saeed al sahhaf, the information minister?
ulishindwa... ungempa mji!!!
Umeonaeeee angempa mji tu mchezo kwisha na game angepiga asa mwanaume anashindwaje bana hahahaaaaa kama nakuona umepewa hiyo nafasi ni shidaaa
yaaani hizi bahati wengine huwa hatupati, mtoto anakuja mpaka ndani ushindwe kupiga kisa swali!!! hapo angedanganywa mpaka atulie na game linapigwa vizuri tu kwa ushirikiano
yaaani hizi bahati wengine huwa hatupati, mtoto anakuja mpaka ndani ushindwe kupiga kisa swali!!! hapo angedanganywa mpaka atulie na game linapigwa vizuri tu kwa ushirikiano
Na hapo haipasw maneno,mwanaume unatambaa na vitendo tu!
Wavulana bana...
Simba angelikuwa anafanya michezo kama hii na wanyama pori sidhani kama angeliitwa mfalme wa nyika...
Jamanii nielezeeni hyo style