Asante ngoja mwezi ujao nianze mazoezi....tena gym iko pembeni ya nyumba tu.Habari nzuri ni kwamba inawezekana, habari mbaya ni kwamba huwezi target bellyfat kama parts zingine za mwili.
Kitambi ni sehemu ngumu na inayohitaji nidhamu na uvumilivu wa hali juu ili kukitokomeza. Kwa kawaida mafuta ya kitambi huwa ya mwisho kabisa kupungua mwilini yani thighs, arms, chest vitakuwa in shape kabla ya kitambi kuisha. Ushauri fanya mazoezi kawaida tu kama ni cardio au weightlifting au both na kitambi kitaisha taratibu. Usijidanganye kufanya crunches bila mazoezi ukitegemea kitambi kitaisha bali fanya crunches after mazoezi mengine. Good luck
Wewe si unafanya hiyo rumba [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Hehehe, mie mwenyewe hapa Gym tosha nilivyo kimbau...lol
...hey kiddo mzhima wewe!, ya ndani raha sana, husikii uvivu kama vile when you have to go a distance for a gym.
Really?!, oh yes please...
Halafu wangu mtiifu itabidi ajitahidi twende sambamba. Maana yeye hawezi kuwa workout warrior, halafu mimi nikawa nafanya mazoezi ya kubip.
Mie kufanya mazoezi is not an isue! Tatizo ni muendelezo[emoji134] [emoji134]Hehehe!, una vituko weye. 🙂
Mazoezi ya kucheza kama rumba hivi au video kama hii, ndo mazoezi mazuri kuanzia cos huboreki haraka. And once you used to it, inakuwa rahisi tu. Kama kumsukuma mlevi vile.
Kaviweke kwenye ule uzi aisee..
Mkuu you on the right track so far hapo cha kuongeza ni intensity tu. Kama unakimbia Jaribu hii formula ya HIIT (High intensity interval training) yani umbali unaokimbia kwa dakika15 Jaribu hadi uweze kukimbia umbali huo huo kwa dakika 10.Huwa nafanya program kubwa nne kila siku
1:running dakika 15
2😛ush up dakika 10
3:Hevy lifting dakika 50
4:kuruka kamba dakika 20
Matokea nimeyaona na tayari nishakuwa addicted
bila zoezi nakuwa kama naumwaa
Naomba ushauri kipi niongeze ili nipate matokea bora zaidi
maaana sina trainer wala instructor, huwa nafanyia home tu
Msosi ni kawaida wali, maharage, samaki, nyama, juice palachicha
On weightlifting ongeza uzito au reps au both. Kama unafanya 10reps za bicep curls basi fanya 15reps unaweza ongeza uzito pia
Push ups pia ongeza reps huku ukipunguza muda wa interval kati ya set na set. Good luck mkuu
Aisee hiki kitambi changu cha bia sijui nakitoaje tu???
Wewe si unafanya hiyo rumba [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Okay what do you love to read?
Mie kufanya mazoezi is not an isue! Tatizo ni muendelezo[emoji134] [emoji134]
Thanks much buddyMkuu you on the right track so far hapo cha kuongeza ni intensity tu. Kama unakimbia Jaribu hii formula ya HIIT (High intensity interval training) yani umbali unaokimbia kwa dakika15 Jaribu hadi uweze kukimbia umbali huo huo kwa dakika 10.
On weightlifting ongeza uzito au reps au both. Kama unafanya 10reps za bicep curls basi fanya 15reps unaweza ongeza uzito pia
Push ups pia ongeza reps huku ukipunguza muda wa interval kati ya set na set. Good luck mkuu
Apart from jogging in the morning and push-ups sifanyi chochote kingine... Bado umri unaniruhusu kunywa biaYap nachanganya, rumba na mengineyo kama weights. Na wewe unafanya yapi, tu share.
Hmmm! Thatz where you get your motivation i'm assuming.Ahahaha...hilo nawaachia wengine.
Ila uongo mbaya gym kuna totoz kali bana.
Nah...the motivation comes from deep within. I'm self motivated.Hmmm! Thatz where you get your motivation i'm assuming.