MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,759
- 71,766
Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.
Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Nina kitambi kikubwa nataka nikate kabisa niwe na six pck na kifua kipana mazoezi yapi yanafaa? Msaada plz
Mkuu hiyo Unakua na deadly kick miguu inakua na na nguvu na ukifikia kupiga hadi 500 unaona kabisa juu ya paja panavyojazia Warning for the first siyo easy unaweza kunya umesimama kwa wiki nzima then utaskia kawaida tuu baadaye inajaza paja na kua lenye nguvu.squarts zinasaidia nn mkuu??
You are too slow my dear😀😀😀😀😀Nafanya cardio nilianza kidogo kidogo, yesterday I was able to run 5kms in 30 minutes.
Nimeanza zoezi ila nakumbana na changamoto zifuatazo mfano nikitaka kupiga "push up" mikono inatetemeka sana au nikisema nibebe chuma mikono inatetemeka sanaa hii ni nn wakuu au ndio kuto kuzoea!?
pamoja sana mkuuMkuu hiyo Unakua na deadly kick miguu inakua na na nguvu na ukifikia kupiga hadi 500 unaona kabisa juu ya paja panavyojazia Warning for the first siyo easy unaweza kunya umesimama kwa wiki nzima then utaskia kawaida tuu baadaye inajaza paja na kua lenye nguvu.
Usain Bolt runs faster than you, you are too slow.You are too slow my dear😀😀😀😀😀
Hahaaaaa!!Usain Bolt runs faster than you, you are too slow.
Ni kwamba misuli yako bado haijazoea hizo shurba.
Kwa hiyo wala usishituke sana. Ni hali ya kawaida kabisa.
Mimi mwenyewe nimeanza tena mazoezi mwezi uliopita baada ya kuwa kwenye hiatus kwa miezi miwili na siku mbili tatu za mwanzo mikono ilikuwa inatetemeka sana na sikuwa na nguvu kivile.
Lakini kwa vile nimekuwa nikifanya mazoezi haya ya resistance training kwa zaidi ya nusu ya maisha yangu, tayari nina muscle memory nzuri inayonifanya nirudi kwenye shape ndani ya muda mfupi sana.
Ukiwa na muscle memory nzuri basi hata retraining nayo inakuwa rahisi mno na gains zinaonekana ndani ya wiki chache tu.
Sasa kinachotokea kwako ni kwamba misuli yako bado haijawa na nguvu [ strength] wala ustahimilivu [endurance] wa kutosha.
Kwa hiyo nenda mdogo mdogo na taratibu utaona tofauti inakuja...nguvu zitaongezeka na ustahimilivu nao utaongezeka.
La nyongeza, pia zingatia sana form unapopiga hizo push ups na kunyanyua hivyo vyuma.
Form ni muhimu sana. Jingine la muhimu ni range of motion.
Kwa hiyo usibebe tu ili mradi umebeba. Beba kwa mpangilio maalumu.
Ni matumaini yangu haya maelezo yatakusaidia.
Ukihitaji ufafanuzi zaidi usisite kusema.
Kila la kheri.
Shukrani mkuu!
Uko sahihi dawgNi kwamba misuli yako bado haijazoea hizo shurba.

unataka kupunguza uzito au mafuta (weight or fats) what is your target? ama vyote?Nina kilo 70 nimeanza diet, target nifike 65 ila dooh mazoez nashindwa kabisa nilifanya mara moja cku ya pili nikaamka mgonjwa kabisa. Huu uzi utakua msaada kwangu sana kwa kipindi hiki.
Vyote uzito na mafuta.unataka kupunguza uzito au mafuta (weight or fats) what is your target? ama vyote?