acha viporo na mavyakula ya mafutahata 60kg sijafika....ila nimependa tumbo lake mana nina kitambi uchwara.
kutokula sio njia ya kupungua.ni mazoezi tuu kwa ww ni kukimbia tuuMimi nina 175cm nina kg 76 natamani sana kupungua nifike 70 ila inashindikana, nakula mara moja kwa siku mchana na usiku nakula matunda au greens, sinywi bia huwa natumia pombe kali ila mara moja moja, inshort kwenye kula nina nidhamu, kukimbia nashindwa sababu nakosa company, mwili wangu ni mwepesi yaani sijaludhikana nyama wala sina tumbo mpaka sometimes nawaza labda ni u-giant maana baba yangu na mama wote ni warefu. Msaada tafadhali.
Viporo situmii wala vitu vya mafuta situmii.acha viporo na mavyakula ya mafuta
Nimeshangaa sijajibiwa kama wanawake kila wakiuliza RAIA wanafunguka poa wakuu.
Mkuu pole kwa kutopata timely response na hongera kwa kufanya mazoezi na kuona mabadiliko.Aisee Kwa sasa nimeweza kukimbia hadi Mara 25 uwanja wa kukimbilia pia kwa sasa ninaweza kufanya Squats 250-300 kitu ambacho nime experience nimeshakua adicted Mboo yangu pia imekua ngumu kila nikichomoa dude condom nakuta imechanika mbele kwa kweli mazoezi yamenijenga sana.
Mimi kwa sasa nimehamia size 34 napenda kuvaa kadeti na mashati mwaka mzima ila ninatatizo moja naombeni members mnishauri mikono yangu midogo nataka kujaza hasa eneo la kuvalia saa nimepitia thread nzima sijaona watu wanaotaka kuongeza. Mikono ya kuvalia saa last time nimenunua saa ilibidi nipunguze mabinti walipata faida ya kutengeneza heleni na Cheni za Silva naomba mnisadie jamani.
Naomba unijibu swali langu hapo juu tafadhali.Mkuu pole kwa kutopata timely response na hongera kwa kufanya mazoezi na kuona mabadiliko.
Pitia hii link upate maelezo, instructions na video ya jinsi ya kufanyisha mazoezi forearms and wrist;
7 Exercises to Maximize Hand, Wrist, and Forearm Strength - Page 2
Kwa kuongezea dumbbell curls husaidia pia.
Mkuu fanya mazoezi walau siku 4 katika wiki na walau saa moja kama ukiweza. Kama huwezi basi fanya vile uwezavyo, heri nusu kitu kuliko kutofanya kabisa.Ngabu ni lazima kila siku kufanya mazoezi saa nzima? Maana mie nahisi kufa kufa.
Nafanya cardio zaidi na ninafanyia nyumbani. Goal zaidi kuuweka mwili fit basi.Mkuu fanya mazoezi walau siku 4 katika wiki na walau saa moja kama ukiweza. Kama huwezi basi fanya vile uwezavyo, heri nusu kitu kuliko kutofanya kabisa.
Mwili utazoea na bdae utazoe kufanya kwa muda mrefu. Labda niulize unafanya mazoezi mwenyewe nyumbani au gym, unafanya zaidi cardio au weightlifting na goal lako ni nini?
Hahahaha Mali maisha yangu yenyewe ni tizi tosha
Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.
Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Pole sana Mkuu, Mungu azidi kukutia nguvu.Nikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.
Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Bila shaka itakua gari ,ndio maana unakua mkali unaposikia mada za watu wanaendesha speed hovyo hovyoNikisoma thread za watu kufanya mazoezi napata uchungu sana. Nilikuwa mtu wa mazoezi, nafanya jogging mara tatu kwa wiki, nacheza basketball mara tatu kwa wiki. Nilikuwa napiga push ups 400 kila asubuhi at least mara tatu kwa wiki. Kwa kifupi nilikuwa fit sana (sio kujazia mamisuli). Ila mchana mmoja ulibadili maisha yangu, minor accident ikanipa serious backbone damage.
Kutoka a very fit guy mpaka kuwa mtu ambae hawezi kutembea mita hamsini bila kukaa chini ni experience ngumu sana. Nashukuru Mungu nimepona kiasi kwamba naweza kufanya vitu vyote kasoro kufanya mazoezi niliyozoea kufanya. Na kwa uwezo wa Mungu natumaini siku moja nitarudi kama zamani.
Sio gari mkuu. Ila kwenye physio session nimekutana na watu wengi waliopata ajali.Bila shaka itakua gari ,ndio maana unakua mkali unaposikia mada za watu wanaendesha speed hovyo hovyo
Pole sana
Ongeza calisthenics exercises kwenye workout routine yako kama push ups, squats, dips, crunches, pull ups, plunges and planks. Anza haya kabla ya kufanya cardioNafanya cardio zaidi na ninafanyia nyumbani. Goal zaidi kuuweka mwili fit basi.