Augustine Moshi
JF-Expert Member
- Apr 22, 2006
- 2,556
- 1,394
I have been to many international airports but I do not remember seeing a smaller arrival area.
The departure lounge is as hot as a frying pan.
Have you been to Bangkok Airport? Do you know how many tourist go through that airport?
Gametheory Hawa Taa Ni Maanisi Sanasana...nakumbuka Kuna Siku Nilikuwa Nasafiri Kwenda Mwanza ,,,nikafwatana Na Crew Wa Airtanzania,,na Emirates,,,nikawa Nyuma Yao Nikakuta Macrew Wa Bongo Wanatukakana Nao,,cha Ajbu Wa Emirates Wakapita Kama Kawaida Wa Bongo Yani Atc Wakaambiwa Wavue Makoti Yaooo,,,,maanina Zaoooo Wote Na Msenge Wao Msangi Kwa Kuwanyanyasa Watanzania,,,,mwisho Waatishiwa Watachukuliwa Id...sikujua Kilichoendelea Nilieanda Kumwambia Mama Maua ..hiyo Ndio Taa,,sasa Hiii Kashfa Ni Aibu Kubwa...nimeona Ofisi Zote Wametoa Vibanda Ndaniwanaweka Nje Uyu Binti Kwa Taarifa Yenu Kahonga Hela Ndogo Tu 1000000kwa Jamaa Anaitwa Chawene Ndie Msaliti W Upumbavu Huu,,,wat The ***
$1000...dem U

Kuna Kitu Kimoja Ningewashauri Hawa Watu Wa Airline,,,hivimajuzi Nilikuwa Nasafiri N Kampuni Ya Ndege..nikiwa Na Mizigoyangu Kwanza Akaja Kijana Ananisongasonga Mzee Hapo Mzigo Umezidi Kilo Utalipa Nyingi,,,una Sh Ngapi,,nikamuuliza Hata Sijapima Kilo....akaondoka ,,nilipofika Kwa Binti Anaenichecki Ticket Akaja Yule Kijana Tena,,,wakaniambia Nimezidisha Kilo Kadhaa ,,nataka Kulipa Nipewe Risiti Akasema Mama Nipe Nuusu Yake..nikapanda Ju,,maara Akaja Yule Kijana Kunifwata Juu Anataka Hela Nkwamwambia Sina Leta Risiti....haya Mashirikia Yakifa Jamani Tutapata Hata Huo Mshaara,,,acheni Kuonyesha Dhiki Sana Nyie Watu Kama Mnatusaidia Wasafri Tusadidieni Kufwatana Juuu Hatutaki Kabisaaaa........nafikiri Mashirika Ya Ndege Wataliona Hili Na Kulifanyia Kazi,,sasahivi Tunakuja Na Tarakuru,,hawaongwi Kabla Ya Kuja Wameshaongwa Na Serikali,,,,
Ulichosema Game Theory ni kweli kabisa. Mimi na familia yangu tumetoka likizo TZ hivi karibuni, na hali tuloikuta kwa kweli pale Uwanja wa Ndege ilikuwa ni ya kusikitisha. Naomba msinielewe vibaya maana kuna wengine wanoweza kudhani nina nyodo, kasumba, etc. lakini jamani kwa nini kuwepo na yafuatayo....?
1. Escalator zisizofanya kazi.
2. Pale arrival/luggage claim lounge ni mtafutano. Yaani ni JOTO, na msongamano wa watu. KWA NINI PASIPANULIWE? KWA NINI WASITENGENEZE AC? (HVAC Systems). Ninasema hivi kwa sababu ninajua kwamba VIP lounge ina AC ambayo ni operational. Kwa nini wasisambaze teh same system kwenye departure and arrival lounges???
3. Kuna wafanyakazi wengi sana sana walikuwa wanazunguka tu, hata sikuona walichokuwa wakifanya kwa kusema ukweli. Ni kama mwana JF alivyosema hapo juu...soga tu! Yaani nadhani idadi ya wafanyakazi ilikuwa ni sambamba na wageni walioko pale arrival lounge.
Haya mambo yetu TZ ya watu na viongozi kushikilia madaraka miaka nenda miaka rudi inatu-cost sana. Oneni what happened to ATC...mambo ya ajabu tu.
Sasa tunasema tunataka kuitangaza Tanzania nje ili watalii watembelee vivutio mbalimbali vya nchini. sasa wakija wapokelewa na hali ya ajabu pale airport, si itatumalizia biashara jamani?
Wana JF tuamke na tuvalie njuga hili swala la Airport ya Dar. Tukumbuke kwamba A FIRST IMPRESSION is always remebered. Mfano mzuri ni kama ukitegemea wageni nyumbani kwako, si unapanga vitu na kufanya usafi zaidi ya siku nyingine zote? Sasa tunategemea watalii na wageni kutoka nchi mbalimbali duniani. Wouldn't we rather make a GOOD FIRST IMPRESSION to our guests right at the front door? And that front door, ladies and gentlemen is THE JULIUS NYERERE INTERNATIONAL AIRPORT.
Wake up TAA!
You on point.
Sasa mimi natuma ujumbe kwa Director General, Director Engineering and Technical Services, Deputy Chief Fire Officer na Manager Construction and Maintenance (naamini hawa wote watakuwa wanashirikiana) kwasababu mimi naweza kutoa mchango mzuri sana kwao katika HVAC, kama watasikiliza.
Contact zao nimeziona hapa (natumaini ziko richebo); TAA Contacts

Unaambiwa jana hapo airport staff wote walikuwa soap soap! kumbe inawezekana ehhh
heeeehheeeee hilo mnashangaaaaaa
HIYO NDIO AIRPORT DEAR.....CABIN CREW WA AIRTANZANIA/PRECISSION WAKIPITA WANAVULIWA MAKOTI NA TAA...AKIPITA WA EMIRATES ATI RUKSA KUPITA NA KOTI VERY SHAMEFULL TAA