Fiterawa ya Dr Rahabu

Jamani nauliza vipi unatumia hii dawa kwa siku ngapi?

Dawa ipi? Kama hiyo ya kumpika kuku kwa kutumia maziwa muelekezaji amesema ni siku tatu(rejea kurasa ya pili),hebu ijaribu uje utupe maendeleo yako..
 
Star Tv wamekaa kibiashara kupita kiasi. Hata akitokeza mganga wa kienyeji kutangaza ana dawa ya kufufua wafu wanampa airtime mradi ana pesa. Hivi vyombo vinatakiwa kuwajibishwa. Mamlaka ya dawa na vyakula hata wakipiga marufuku kutangazwa na kuuzwa dawa za hao waganga fake wenye magazeti tv na radio wanazitangaza. Kwa mfano dawa inayoitwa netrogen imepigwa marufuku na mamlaka ya dawa lakini ipo sokoni.
 
wa kuu kuna Mama mmoja yuko mara ana dawa ya vidonda vya tumbo na mtu anapona kabisa kuna watu wangu kama watatu wametumia na wamepona so kwa anae hitaji nitawapatieni namba zake
Fanya hima! waathirika tuko wengi kuliko unavyofikiri!na mistress ya maisha donda ndumbo halikwepeki!
 
Jamani kwa wale mnaojua au
mliowahi kutumia dawa ya huyu binti Dr Rahabu ambayo inasemekana kutibu
vidonda vya tumbo.jamani ni kweli hii dawa inatibu?

nipm nikupe dawa ya ulcers kama unasumbuliwa utasahau mateso yako
 
Binafsi nilikua kwenye stage mbaya zaidi ya vidonda vya tumbo,
ila baada ya kutumia hii dawa nilipona kabisa,
nadhani kikubwa ni kufuata ushauri wa lishe.na kuwa na imani basi..

Hata mimi nina mdogo wangu ambaye alikuwa na hilo tatizo la vidonda vya tumbo..!
Nilimpeleka kwa Rahabu na nilihakikisha anafuata masharti yote...Kwa kweli amepona kabisaa..!
 
Kama una vidonda vya tumbo karibu ofisini kwetu Sinza Africa Sana Plot no 36 nyuma ya soko, dawa ipo na utapona tatizo linalikusumbua, karibuni
 
Back
Top Bottom