Rolandi
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 916
- 486
Kuna mama ninayemfahamu amepona kwa dawa hiyo miaka ya 2007/8. Mimi nilichangia kwa kiasi kidogo gharama za matibabu yake. Lakini mwaka jana alipompeleka rafiki yake akapewa dawa ambayo haikuwa nzito kama aliyokunywa yeye. Ilikua kama maji yamekuwa mengi. Na mgonjwa hakupona!!
Mgema ukimsifia.....
Mgema ukimsifia.....