Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Leo nimekutumia Kaka, Fiston mayele
 
''Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa"

INASIKITISHA SANA
 
Huu ni UKICHAAAA KABISA.
HUMU TUNAISHI NA VI CHAAAA BILA KUJIJUA.
 
I guess mayele proved you wrong already
 
Upo kaka! Mwamba alitubeba sana; sasa kawabeba Waarabu. Huyu alipaswa kuondoka Congo at the age of 23 kisha aje Tz at that age apige soka kwa miaka 3. Sasa alipaswa kuwa Ulaya ila ndo yuko Afrika na umri umeshaenda.

Goal poacher wa kariba ya Ruud Van Nistrooy. What a good game for him!!!!!?
 


Kule kuna mwasibu anahangaika na Aziz Ki. Na wewe huku unahangaika na Mayele. Ngoma droo 😂😂😂

MICHEZO NA BURUDANI.

Fiston Kalala Mayele amefunga magoli mawili na kuisaidia Pyramids kutinga fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAFCL) kufuatia ushindi wa jumla wa 3-2 dhidi ya Orlando Pirates katika dimba la Juni 30, Cairo.

Fainali ya Wasauzi tupu imekataa, Mafarao, Pyramids wameifuata Mamelodi Sundowns kwenye fainali ya CAFCL.

FT: Pyramids 🇪🇬 3-2 🇿🇦 Orlando Pirates (Agg. 3-2)
⚽ 45+1’ Mayele
⚽ 57’ Sobhi
⚽ 84’ Mayele
⚽ 41’ Mofokeng
⚽ 52’ Nkota
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…