Fiston Mayele tumepigwa mchana kweupe

Mayele kafika dar juzi kutokea morocco,wachezaji waliokua morocco walikua kivyao tu maana kocha alirudi na msafara wa kwanza,kwa kifupi viongozi ndio wa kulaumiwa kwa kutoiandaa timu properly lakini si wachezaji
 
Kwa Koffi kweli hapo Kuna kupigwa nakubaliana nawe 100%
 
Djuma pancha ile
 
Vuta subira mtani, mwaka huu utapigwa sana na siyo kwa Manara tu tutawapiga out in.

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Vipi leo katupia bao mkuu, usiyempenda kaja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…