Yule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.
Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.
Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu- molinga
..hata mie nashangaa, unawezaje kum-judge mchezaji kwa mechi moja tuuu?Kwa nini unasema tumepigwa!?
...Yan mtani Leo umeongea cha maana kuh Yanga...😊😊😊Makambo ana magoli mengi msimu huu.Yesu nae Yanga wamepata mtu,Shaban Djuma ni hatari ila mbovu wa majeraha,ila ni mzima atanyanyasa sana kwasababu ya uwezo wake wa kupanda na kumwaga maji.
Mtani wewe saa nyingine huna unafiki.Makambo ana magoli mengi msimu huu.Yesu nae Yanga wamepata mtu,Shaban Djuma ni hatari ila mbovu wa majeraha,ila ni mzima atanyanyasa sana kwasababu ya uwezo wake wa kupanda na kumwaga maji.
We unasema mayele tumepigwa umemuona kacheza dk ngap mpaka umjaji? Sisi tunaemjua tunajua ni suala la muda tu azoee lakini ni bonge la mshambuliaji weka akiba ya manenoYule Djuma Shabani ni mtu na nusu sana, ana mwendo mno yaani anapandisha vizuri mashambulikama inavyotakiwa kwa full back wa kisasa!
Halafu kuna Yanick Bangala, jamaa ni kiraka mzuri! Anacheza kwa usawia akicheza kama beki wa kati na hana tofauti akicheza kama kiungo mkabaji. Ana sambaza sana pasi za upendo, ana utulivu wa hali ya juu sana! Huyu akiwa As Vita ndio alikuwa akimuweka benchi Mukoko kwenye nafasi ya kiungo mkabaji.
Mchezaji mwingine mwenye kitu cha ziada ni Heritier Ebenezer Makambo atafunga magoli ya kutosha hasa ukizingatia udhaifu wa mabeki wetu katika ligi ya bongo.
Waliobaki hao akina Fiston Mayele hamna kitu, yaani tumepigwa mchana kweupe, Ukibisha wewe bisha ila mwezi wa 11 mje hapa kufukua huu uzi, Mayele Tu-Me-Pi-Gwa
Mimi sikuona amepewa nafasi nzuri akakosa kufunga ama kumtengenezea mwingine..hata mie nashangaa, unawezaje kum-judge mchezaji kwa mechi moja tuuu?
Rejea ya Obrey Chirwa na wengineo, ambao walihitaji muda kuzoea. Wachezaji wako wa aina mbili kuu..Kuna wanaozoea mazingira mapya kwa haraka zaidi na wanaohitaji muda mrefu kidogo kuzoea mazingira. Hawawezi wote wakawa sawa ndugu. Ila kiushabiki waweza ongea chochote upendacho, Ila kiufundi iko hivyo kama nlivyoeleza
Kiwango cha moloko na alikuwa dhidi ya zanaco jamaa anajua apewe mdaHata moloko tumepigwa mchana kweupee
Jamaa amekurupuka kama mkojo wa asubuhiWe unasema mayele tumepigwa umemuona kacheza dk ngap mpaka umjaji? Sisi tunaemjua tunajua ni suala la muda tu azoee lakini ni bonge la mshambuliaji weka akiba ya maneno
Mda gani tena? Uzuri wake nini control zeroKiwango cha moloko na alikuwa dhidi ya zanaco jamaa anajua apewe mda
Leta historia yake ya DRMakambo ana magoli mengi msimu huu.Yesu nae Yanga wamepata mtu,Shaban Djuma ni hatari ila mbovu wa majeraha,ila ni mzima atanyanyasa sana kwasababu ya uwezo wake wa kupanda na kumwaga maji.