demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Kanuni ya Ligi kuhusu wafungaji bora kupata tuzo inasema kama wachezaji wakifungana kwa idadi sawa ya mabao basi wote wanapata fursa ya kuzawadiwa kiatu cha dhahabu.
Ikumbukwe kuwa vipengele na kanuni hii havijabadilishwa tangu msimu wa 2016/17 ambapo Saimon Msuva na Abdulahmn Musa wote walipata kiatu.
Alamsiki.
Ikumbukwe kuwa vipengele na kanuni hii havijabadilishwa tangu msimu wa 2016/17 ambapo Saimon Msuva na Abdulahmn Musa wote walipata kiatu.
Alamsiki.