Et mayele kakuzwa na yangaKuna nini ndugu
Shirikisho hata ufunge magoli 100 hawakupi chochote.Alibeba kiatu cha kombe la Shirikisho akiwa na Yanga, anabeba kiatu cha Club Bingwa akiwa na Pyramid.
Kuna timu haijawahi kutoa mfungaji bora CAF😛. Ipo tu inaji gwajimanize.
Mayele huyu huyu aliombewa na mwamposa mguu...Et mayele kakuzwa na yanga
alishakuzwa toka alikotoka ndo maana nyuma mwiko walimona nakumsajili, uto memloga weeeHii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu.
Hajawahi kuisahau Yanga.
Kama alivyokuwa yule mwingine shabaan nonda Papii Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni.
View attachment 3353089
Ndo kilichobakia ...alishakuzwa toka alikotoka ndo maana nyuma mwiko walimona nakumsajili, uto memloga weee
Mbona Jana Nimeona Kasujudu Au Amekwisha SilimuIkawaje baada ya kumkuza mkaamua kumroga, kabla hajaenda kurudisha kiwango chake kwa Mwamposa?
Ni sehemu ya kutafuta kukubalika kwa Waarabu tu. Hamna lolote pale.Mbona Jana Nimeona Kasujudu Au Amekwisha Silimu
Wanatumia masikio kuonaMayele Vs Samatta. Nani ni bonge la streka
Amekuzwa na Yanga??Hii ni hazina nyingine ya Dar Young Africans inayoenda kuushangaza ulimwengu.
Hajawahi kuisahau Yanga.
Kama alivyokuwa yule mwingine shabaan nonda Papii Yanga imempeleka Striker hatari ulimwenguni.
View attachment 3353089