naona uzee umekuanza,fish utakuwa unawaza misosi mama mkwe
Hii ni Tanzania mkuu?
Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori?
Tanzania mkuu si unaona meza imefunikwa bendera ya ccm
siyo bendera ya ccm hiyo?
Afrika magharibi hiyo
Bila shaka ilikuwa Mbeya, namuona kamanda Diwani Athuman hapo! TATIZO ni hivyo vitambaa vya chama!Hii ni Tanzania mkuu?
Ina maana ni halali kumiliki wanyama pori?