Fisadi Mtoto ! where r U !

M-bongo

JF-Expert Member
Feb 29, 2008
338
71
Sina hakika kama hapa ni mahali pake lakini kwa muda mrefu sasa sija,muona mwana JF mwenye jina tajwa hapo juu, binafsi nilikuwa nikipendelea sana hoja zake hasa alivyokuwa akijitetea hata kama kun a kun di la watu lingetokea kumpinga, Once again where r oyu Fisadi mtoto?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom