kipo bagamoyo ni constituent ya st.agustine...kina coz za Bed in science kwa masomo ya chem,maths,grog,phyiscs,bios na geog...pia masomo ya Ict wanatoa..then na short courses za certificate na diploma wanatoaMmh Hiki ni chuo kipya? Mbona hatukifahamu. Mleta mada embu fafanua kidogo, ili tukifahamu hicho chuo cha Marian?
Tupo...0676325835Ningependa kufahamiana na wenzangu tutakaosoma marian