lipoprotein
Member
- Oct 4, 2016
- 51
- 58
Waeleze aise siku hizi chuoni ni full stress kiongozi wanguUnajua ugumu wa Chuo, unajua kuwa furaha yako usipokuwa makini itageuka kilio, unajua cku hiz chuon no bataz, unajua kuwa maisha ya Chuo ni full stress; usijar juhud, nidhamu ni silaha kwako , nawatakia maisha mema
Unajua ugumu wa Chuo, unajua kuwa furaha yako usipokuwa makini itageuka kilio, unajua cku hiz chuon no bataz, unajua kuwa maisha ya Chuo ni full stress; usijar juhud, nidhamu ni silaha kwako , nawatakia maisha mema
Itategemea na Chuo bro, wewe upo Chuo gan, lakin kwa first year hawawez kukusumbua sanamfano chuo kinafunguliwa jmoc ukaripot jtatu kuna tatizo gani??
Unajua ugumu wa Chuo, unajua kuwa furaha yako usipokuwa makini itageuka kilio, unajua cku hiz chuon no bataz, unajua kuwa maisha ya Chuo ni full stress; usijar juhud, nidhamu ni silaha kwako , nawatakia maisha mema
Acha wakale bata mpaka kuku waone wivu.Halafu wakimaliza chuo wataona wenyewe ndio walitakiwa waonee wivu bata wanazokula au kuku ndio waliona wivu.Usiwatishe madogo mkuu chuo kujitambua umefata nini na usijifananishe na yeyote maana huko ni kama bongo movie yaani ( anaishi nyumba ya dola 2000 lakini hana hata kiwanja ) chuo mtu ukimuaona classic pamba kali simu Iphone hehehe balaa afiwe mkienda kwao mdomo unabaki wazi (wengi wao)
Ahsante mkuuUnajua ugumu wa Chuo, unajua kuwa furaha yako usipokuwa makini itageuka kilio, unajua cku hiz chuon no bataz, unajua kuwa maisha ya Chuo ni full stress; usijar juhud, nidhamu ni silaha kwako , nawatakia maisha mema
Gud!Unajua ugumu wa Chuo, unajua kuwa furaha yako usipokuwa makini itageuka kilio, unajua cku hiz chuon no bataz, unajua kuwa maisha ya Chuo ni full stress; usijar juhud, nidhamu ni silaha kwako , nawatakia maisha mema
Mkuu nadhani huu uzi sio wa kuwatisheni bali kukumbushana tu maana mtu ukiwa kidatk cha sita unakuwa Na mchecheto wa kwenda kuenjoy bats za chuo.Hapo cha muhimu ni kujitambua mapema maana kila unalolifanya chuoni lina mambo mawili tu.Likuongezee alama za ufaulu ama likupunguzie alama.kumbuka kuwa kufaulu chuoni kunaanzia kwako.Ukivijua viwanja vya starehe kuliko kuhudhuria mihadhara mwisho wa semista utajishangaa mwenyewe Na hutoamini kama ni wewe uliyekuwa nondo huko ulikotoka.Kwa walipchaguliwa MNMA karibuni sana.Kufaulu kunaanzia kwako Na si kwingine.[HASHTAG]#Sadiki[/HASHTAG] Ukipenda.inategemea mkuu usimbie wewe ngoja nikajionee mwenyewe...maanake hata advance niliambiwa hvyohvyo mkuu
SODOKA upo hahahaha ww bila kualibu sio wwacha kuwapanikisha madogo kama wewe unaishi na mastress baki nayo kivyako
sent from Sodoka web
Iyo Ku carry ndo huwa inakuaje??Mtoa uzi.....unaonekana unamchecheto wa kujua yaliyomo chuoni isee....ila kwa wote mnaoenda kuanza mwaka wa kwanza...chuoni kuna kila kitu hata ukijipanga vipi..kuna wakati kuna kula bata, kuna wakati wa stress hasa kipindi cha test kuitafuta course work nzuri..cha msingi ni kujitambua kuwa ww now ni nani na upo level gani na jamii inayokuzunguka wanategemea nn kutoka kwako...ila mjue chuoni kuna washambuliaji hatari watatu wanaoweza kufanya maisha ya chuoni ya kawa magumu kama hautajitambua mapema..1) supplimentary 2) Carry over na 3) discontinuation..hawa jamaa wanategemeana sana...kama kuna lolote you can quote me