first time in town

yaani hajawaza hata kuwa hapa ni public
 
Kuna hausigelo wetu mmoja kipindi nikiwa chalii, alipofika home alidhani yale maji yaliyopo kwenye choo cha kukaa ni chemchem...basi siku ya kwanza si tukamkuta anasukutua meno na yale maji kwa raha zake
 
nakumiss sana Mr Rocky......hebu niambie ulikuwa wapi...
grafani11 naona katingwa sana.........

salam kwa Excellent zimefika

Nipo aise ila huku nilipo network mpaka upande juu ya mti mrefu na ni mti wa kijiji kila mtu anasubiria kwa hiyo muda wako ukiisha unashuka anapanda mwingine
Msalimie kaka yangu watu8
 
Last edited by a moderator:
nimecheka mpaka nimejishtukizia maana nilikaa na watu ha ha haaaaaaaaaaaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…