E empty mind Member Joined Oct 27, 2018 Posts 61 Reaction score 26 Jun 18, 2019 #61 Kir Sangarara said: Muanzilishi wa haya mabishano ni Kiranga atakuja sasa hivi, unaweza dhani huwa anavuta arufu ya mijadala kama hii, na wanamjua si unaona wamemuita. [/QUOTE Kiranga mweupe tu hana jipya Click to expand...
Kir Sangarara said: Muanzilishi wa haya mabishano ni Kiranga atakuja sasa hivi, unaweza dhani huwa anavuta arufu ya mijadala kama hii, na wanamjua si unaona wamemuita. [/QUOTE Kiranga mweupe tu hana jipya Click to expand...
B border Senior Member Joined Jun 22, 2017 Posts 146 Reaction score 142 Jun 18, 2019 #62 Wajinga wachache ambao hata uwezo wa kutengeneza kiberti hawana ndio wanasema hakuna Mungu
comred JF-Expert Member Joined Jan 17, 2011 Posts 1,867 Reaction score 1,607 Jun 18, 2019 #63 You are a normal person who is confused by the many versions of God/Religion that have percolated down from ancient times.
You are a normal person who is confused by the many versions of God/Religion that have percolated down from ancient times.
mtu watu JF-Expert Member Joined Dec 10, 2017 Posts 2,123 Reaction score 1,617 Jun 19, 2019 #64 Kwahiyo wanaotengeneza kiberiti ndiyo wanajua mungu yupo? border said: Wajinga wachache ambao hata uwezo wa kutengeneza kiberti hawana ndio wanasema hakuna Mungu Click to expand...
Kwahiyo wanaotengeneza kiberiti ndiyo wanajua mungu yupo? border said: Wajinga wachache ambao hata uwezo wa kutengeneza kiberti hawana ndio wanasema hakuna Mungu Click to expand...
Loeb S Mpalasinge JF-Expert Member Joined Dec 1, 2013 Posts 1,792 Reaction score 1,749 Jun 19, 2019 #65 Iko safi mno.Sasa kilichobakia kwa scientists wetu warudie kufanya huo utafiti kwa ajili ya kuprove tu.
Iko safi mno.Sasa kilichobakia kwa scientists wetu warudie kufanya huo utafiti kwa ajili ya kuprove tu.