First round selection

Mwenye kusaidia Udom namuombea dogo nimelipia tangu ijumaa lakini tangu siku hiyo hadi leo wanasema not paid
Note: Sikuomba First round ndo nimeomba 2nd round kwa mara ya kwanza msaada pls

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Namaanisha ndo niomba second round baada ya kukosa vyuo vingine ndo nikaomba Udom ijumaa hadi Leo inaonekana eti not paid wkt nililipa risiti na sms kuwa malipo yamepokelewa Udom ipo Ila kila nikilogin inaonyesha sijalipa

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Nijuavyo mimi drisha i halijafunguliwa
Waliochaguliwa 1st round bado wanaconfirm vyuo mwisho Sept 6,

Baadaya hapo ndio second round itaaza
 
Second round ishaanza ndugu nishaomba baadhi ya vyuo kadhaa ksb dogo alikosa round ya kwanza ndo nilitaka kumuombea na Udom Ila ndo hivyo still not paid yaani sijui itakuwaje na siku zinakimbia hatari

Kwenye website zao vyuo vingi wanasema namba za kuwasiliana nao na mimi nimewahi kuwasiliana na watu wa DIT na SUA
 
Hivi walio omba kujiunga na vyuo upande wa certificate hivi wao selection zao bado au, kwa maana nilimwombea dogo chuo flani Cha afya majibu yametoka kwa waliochaguliwa lakini naona ni upande wa diploma pekee, wa certificate hakuna, Kuna mwenye kujua Hilo anijuze
 
Ingia kwenye akaunti uliyoombea
 
Kila nikiconfirm inaniambia failed to connect to tcu. Kuna aliekutana na hii changamoto kwa chuo cha Dodoma na ameitatauaje
 
Nijuavyo mimi drisha i halijafunguliwa
Waliochaguliwa 1st round bado wanaconfirm vyuo mwisho Sept 6,

Baadaya hapo ndio second round itaaza
2nd round ilifunguliwa tareh 24 August kwa Vyuo vyote under TCU , So walopata 1st round wanaconfirm wakat huohuo wengine wanamba 2nd round mpaka hiyo tareh 6 unayosemea. Confirmation deadline ikifika pia 2nd rounf inafungwa wanaanza mchakato wa kutoa selection za 2nd.
 
Hivi walio omba kujiunga na vyuo upande wa certificate hivi wao selection zao bado au, kwa maana nilimwombea dogo chuo flani Cha afya majibu yametoka kwa waliochaguliwa lakini naona ni upande wa diploma pekee, wa certificate hakuna, Kuna mwenye kujua Hilo anijuze
Kwa kada ya afya mara nying Certificate inaunganishwa na Diploma so wewe deal na hizo za diploma unazoziona ndo hizohizo certificate unazozitafuta
 
Back
Top Bottom