Arduino Sentinel
JF-Expert Member
- Feb 8, 2014
- 203
- 274
Ooh! Sijawahi kujua kuna watu wana interest bado. ndio maana sikuendelea kuweka further posts. good to know kuwa kuna watu wana interest na hii kitu!Mkuu Stefano Mtangoo , mi ni mmoja wa watu tuliokua tunasubiri download link ya linux platforms(.deb on my side) / macOS, kimya kimya, ila naona umeendelea kutusahau 😀 , anyways, since siku hizi atleast natumia windoze for work, sio issue, ninaitumia na js (PHP ignorant of course 😀)
Tungependa kujua hizo features unazohitaji ili tuziongeze. Baadae nitaweka link ya bugtracker. Link yake by the way ni http://hosannahighertech.co.tz/bugtracker ila kitambo sana hatujaitumia kujua kama inafanya kazi kwa kuwa tuna internal tracker ambayo si public. Nitaipitia baadaye ili nione kama inafanya kazi vizuri!so far siienjoy since inalack features nyingi nizipendazo, plus haina support ya core languages zangu.
Tatizo project sources ni mali ya kampuni na sio ya kwangu as individual. Ila ina plugins framework (actually PHP support ni plugin) na imekuwa developed sana internally (architectural changes + bug fixes). Tuna unfinished plugins za kusaidia support ya Python, Elixir na JS languages full (not js as part of PHP). Ningetamani kuona maoni yako plug nitatafuta muda nikutengenezee installer ya Mac/Windows/Linux uitest na wengine wenye interest.Maoni;
Since muda mrefu umepita and wengine tumechoka kusubiri, Kwanini usifanye project iwe open source, ukastick na plugins, and the rest utuachie community tudanki danki nayo (infact hakuna that serious TZ open source project going on so far, i am postive this will be)
Ku open source hilo halijajadiliwa (na halijawahi kuletwa mezani), but hilo la kuandika Plugin SDK ipo ila haijawa released kwa kuwa hakuna stable version bado. First Release Candidate itatoka na SDK ya kuandika plugins.Kuopen source project ni moja, vipi kuhusu custom plugins currently? muongozo upoje?
Ahsante kwa ushauri wako. Napenda tu ujue hizi ni kazi mali ya kampuni na kampuni inaweza kuamua lolote kulingana na maono na mipango yake. hata hivyo kampuni yetu inaangalia faida kwa kampuni na kwa jamii inayotuzunguka. hivyo basi uwe na uhakika maamuzi yoyote yatakayotoka, yataungamanisha maslahi ya Wasimba wa Tanzania na nje ya hapa na maslahi ya kampuni.Aiseh Mkuu ukiangalia wanaokushauri mambo ya pesa hutofanya chochote maana hata jamiiforum ilipoanzishwa kulikua na forum kibao tu Africa mpakanje ya Africa Kama wangekua na lengo la pesa isingekuwepo so pesa uja baadae big up Sana mkuu
Hongera Bro Akili kubwaNaam, mimi niliye mdogo bado nipo!
Safi kiongozi....Tunaitumia mostly kwa internal development. So yes, inapata some support!
Zipo kwa Github ambazo ni public.Safi kiongozi....
Nadra sana kupata good programmer Tz..
Huna open source projects ulizozifanya so we can learn from you?
Au company yenu ina deal na issue gani kwa sasa upande wa Tech
Nitakutafuta PM kiongozi tubongeZipo kwa Github ambazo ni public.
Kuhusu tunajihusisha na nini angali kwenye tovuti yetu
Hosanna Higher Technologies - Your trusted Software development parttner
We are a highly Innovative Software developers. Since 2013 we have been developing our clients software solution with wide range of industries and using variety of hardware and software technologies. Call/Whatsapp +255767893474hosannahighertech.co.tz
Thanks for sharing bromtangoo - Overview
Devout Christian. Electronics, Telecoms & Software Engineer. Dad, Husband, Patriot! - mtangoogithub.com