ndugu yangu humu watu wanajua tu kuhusu android na mambo ya simu simu tu.Since no one showed interest, I have pulled out the link. If you are interested then send me PM for new link.
If there be enough public interest I will release it publicly once more!
All three although I don't have Mac to compile on (I don't use Mac). So it's tested on Linux and Windows only.Hongeren sana. Sikufanikiwa kuiona hii post mapema ..
- What OS platform does Hosanna IDE support .?
- Can you add screenshots ..?
Umenifurahisha sana aisee. Serious!aisee ndugu yangu embu "talk in english"... maana nimehisi bonge la kitu ila sijaelewa chochote. kwenye heading nikahisi studio una una piga picha.. kuanza kusoma ndo nikahisi la studio za mziki..
aisee ndugu yangu embu "talk in english"... maana nimehisi bonge la kitu ila sijaelewa chochote. kwenye heading nikahisi studio una una piga picha.. kuanza kusoma ndo nikahisi la studio za mziki..
Umenifurahisha sana aisee. Serious!
Kiufupi hiyo ni programu unayoweza kuitumia kuandikia Web Applications kwa PHP/JavaScript a la Dreamweaver, PHPStorm, Zend Studio, et al. Link hii itakusaidia maana imeandikwa Kiinglish zaidi.
Integrated development environment - Wikipedia, the free encyclopedia
Nyota tupu.
Wengine wachumi, coding hatufahamu.
Yeah kutengeneza sio issue. Issues ni:aah okay! nakusoma sasa! hope itawafaa Programmers.. na swali la kizushi though, ivi nafkiri unafaham kuna programs mbali mbali wanatumia ma engineer, architects, planners nk kufanya design.. either 2D, 3D, BIM softwares nk.. ivi watanzania wanaweza kutengeneza such softwares, kwann hadi sasa hawajatengeneza?
Yeah kutengeneza sio issue. Issues ni:
1. Ni Kazi ngumu
2. Wateja hakuna
Kama factor ya 2 ikiwa solved ya 1 inafanyika