Mkuu mimi nimetazama mdharo huo hakika huyo Mama ni moto wa kuotea mbali...kwakweli kuna mambo mengi unaweza ukawashangaa wanao mshangilia Trump hasa wa AFRIKA. Trump ni tatizo la dunia... alinichekesha sana aliposema america si polisi wa dunia na anataka wanapotoa msaada nao wapate faida.Clinton Rais over mama ana point sana za kumuangamiza mpinzani wake Clinton family nadhani baadae mtoto wao atakuja kuwa Rais maana kama wapinzani ndio vichwa kama Trump...
Trump yupo straight foward,haihitaji political correctness,Trump akishinda dunia itakuwa salama,kwanza yeye hana mpango wa kuingilia siasa za mashariki ya kati,hopefuly hakutakuwa na majeshi ya marekani yakipiga Syria,na yeye hana time na Bashar alsade,.yeye Trump na USA yao.I want him to be a president kwa kweli.Mana siyo mnafikihivi ulipata wasaha kuangalia huo mdaharo?
Hebu niambie Trump ana shinda kwa point zipi na misingi ipi kutokana na mdaharo?
halafu uzuri wa huyu mama kila point aliyokuwa anasema alikuwa anakuja na solution mfano kweli swala ISS.. halafu alimbana Trump akamuuliza mbona analaumu na asemi atafanya nini kutatua tatizo la cyber attack na ISS?Ukimsikiliza Hilary, utagundua kabisa yule mama alivyo na siasa za point and not pointless ukimlinganisha na Trump jinsi alivyo mzee wa kupanic.
Kwa mtazamo wangu, Trump akimuita hawara wa Bill wa zamani kwa ninajili ya kumdhoofisha Hilary, hapo atakua anajishusha sana kwa wenye akili watamuona kana kwamba Trump hawezi siasa zaidi ya mipasho na kutumia fedheha kama silaha.
Cha kushangaza sijasikia Hilary akitamka ama kutishia kuwaalika wake zake Trump kwenye mdahalo ama akiwa taja popote kwenye kampeni, kama njia ya kumdhoofisha Trump.
Hilary anafanya siasa za kistaarabu sana niki mlinganisha na Trump anae onekana kupenda sana kushangiliwa kwa style yake ya siasa taka na kuchafuana.
Hillary ni kweli yupo calm,ikitokea anakuwa Rais hopefuly Clinton mmewe ndo atagovern tena,Hillary atakuwa pale kama figure tuMkuu mimi nimetazama mdharo huo hakika huyo Mama ni moto wa kuotea mbali...kwakweli kuna mambo mengi unaweza ukawashangaa wanao mshangilia Trump hasa wa AFRIKA. Trump ni tatizo la dunia... alinichekesha sana aliposema america si polisi wa dunia na anataka wanapotoa msaada nao wapate faida.
Haya maneno umeyaandika kwasababu uliangalia mdahalo husika au ni mawazo yako unayo yaona kwa TRUMP? mimi jana kuamkia leo nimegundua kuwa Trump si mtun sahihi kwa Urais na kama umeangalia mdahalo husika utakubaliana nami kuwa Bi CLinton ni moto wa kuotea mbali na laikuwa anatema point tupu kama ana kiwanda cha point mdomoni na kila jambo alikuwa anakuja na suluhu yake.Trump yupo straight foward,haihitaji political correctness,Trump akishinda dunia itakuwa salama,kwanza yeye hana mpango wa kuingilia siasa za mashariki ya kati,hopefuly hakutakuwa na majeshi ya marekani yakipiga Syria,na yeye hana time na Bashar alsade,.yeye Trump na USA yao.I want him to be a president kwa kweli.Mana siyo mnafiki
Mama Clinton ana akili binafsi wachambuzi wa Siasa UNISA niliwasikia wakizungumza uwezo wa huyu mama ulimfanya Clinton aiongoze vizuri USA na hasa pale alipoli handle swala la Monika Lewisky vizuri..Hillary ni kweli yupo calm,ikitokea anakuwa Rais hopefuly Clinton mmewe ndo atagovern tena,Hillary atakuwa pale kama figure tu
Clinton alijiandaa vizuri kwa ajili ya huo mdaharo Trump ana jazba na pia mambo ya Uchumi na mambo ya Nje hayajui kabisa Trump yeye ni kutaka kuvunja na kuweka uhasama kama alivyofanya Bush..Mkuu mimi nimetazama mdharo huo hakika huyo Mama ni moto wa kuotea mbali...kwakweli kuna mambo mengi unaweza ukawashangaa wanao mshangilia Trump hasa wa AFRIKA. Trump ni tatizo la dunia... alinichekesha sana aliposema america si polisi wa dunia na anataka wanapotoa msaada nao wapate faida.
Is that what you heard from him?Which new path would Trump lead them?
Isolation?
Nuclear War?
Economic recession bcoz of failure of Trump's trickle down theory?
hahaha alinifurahisaha alipo mwambia Trump ukiniuliza kama nilijiandaa kwa huu mdahalo nitakwambia ndio lakini pia nimejiandaa kuwa Rais wa Marekani.... daaa huyu mama anavutia kumsikiliza na haachi kujibu swali lolote na nilicho gundua alijifunza kusikiliza zaidi kuliko kuongea sana... maana yeye alikuwa ana msikiliza sana kwa makini Trump atalipokuwa ana mshambulia alikuwa nanampa nafasi ya kumsilikiliza bila kuingialia lakini ilikuwa tofauti kwa Trump... hakika wenzetu wako mbele sana... ukimsikiliza Clinton unasikia kabisa sauti ya Rais....Clinton alijiandaa vizuri kwa ajili ya huo mdaharo Trump ana jazba na pia mambo ya Uchumi na mambo ya Nje hayajui kabisa Trump yeye ni kutaka kuvunja na kuweka uhasama kama alivyofanya Bush..
Nani alikutafsiria mkuu maana lumumba kiinglishi kinawatesa sana.hahaha alinifurahisaha alipo mwambia Trump ukiniuliza kama nilijiandaa kwa huu mdahalo nitakwambia ndio lakini pia nimejiandaa kuwa Rais wa Marekani.... daaa huyu mama anavutia kumsikiliza na haachi kujibu swali lolote na nilicho gundua alijifunza kusikiliza zaidi kuliko kuongea sana... maana yeye alikuwa ana msikiliza sana kwa makini Trump atalipokuwa ana mshambulia alikuwa nanampa nafasi ya kumsilikiliza bila kuingialia lakini ilikuwa tofauti kwa Trump... hakika wenzetu wako mbele sana... ukimsikiliza Clinton unasikia kabisa sauti ya Rais....
Huyu mama ni moto wa kuotea mbali
Thats what i gathered from the debate.Is that what you heard from him?
baba yako lowasaNani alikutafsiria mkuu maana lumumba kiinglishi kinawatesa sana.
we unaishi nji hii au dunia hii?Saa ngap leo??
Lowassa anakunyima usingizi mkuu, yaani hata ukijikwaa unamsingizia Lowassa, hahaha.baba yako lowasa
tuachane na lowasa mwenye uzoefu wa kushindwa hebu niambie ulionaje mjadla kati ya Trump na Bi ClintonLowassa anakunyima usingizi mkuu, yaani hata ukijikwaa unamsingizia Lowassa, hahaha.
Sijaufuatilia mkuu nilikuwa busy ila nitaufuatulia baadae kidogo.tuachane na lowasa mwenye uzoefu wa kushindwa hebu niambie ulionaje mjadla kati ya Trump na Bi Clinton
Ina maana huamini kama Mwanamke anaweza kushika madaraka na kufanya maamuzi mwenyewe??Hillary ni kweli yupo calm,ikitokea anakuwa Rais hopefuly Clinton mmewe ndo atagovern tena,Hillary atakuwa pale kama figure tu
Na hawawez kuikubali maana wanajua tutaenda kuyajua madhaifu yaoHuku midahalo watu wanakimbiaga.
wadau tunaomba wanaojua muda kamili wa mdahalo kuanza na pia chaneli gani itarusha mdahalo huo hapa nchini tanzania ama hata afrika mashariki atujuze....