first post as expoert member

sijuikitu

JF-Expert Member
Feb 8, 2011
286
12
Hii ndio post yangu ya kwanza kama JF Senior Expert Member.......nimejaribu kufikiria kitu cha kupost ila nimekosa...na naogopa kutema pumba.

Cha kusema labda niwashukuru wana JF wote, wana CCM, wana CDM, mafisadi, wazalendo, walioenda Loliondo na wenye imani finyu...

Wote kwa pamoja mmenifanya niweze kuiweka JF kama moja ya TODO zangu kila siku.

Asanteni wote kwa ujumla wenu....nitaendelea kuwakilisha!
 
Doh ,kazi kubwa unasema eti weye ni expoert member ktk title na inapaswa isomeke kama ni jf senior expert member ,check with your dictionary...anyways karibu sana ktk u-senior expert ,hoping kwamba ktk serious issues utachangia seriously,na ktk mada za kizuzu na weye changia kizuzu,yani badilika kama chameleon ndo maisha yanavyoenda.
 
Issue siyo dictionary; wengi huwa hatuna tabia ya kuludia kusoma tulichooandika. Na hata kama tukiludia makosa ya kibinadamu hayakosekani. Ndiyo maana kama unaandika mfano Presentation kabla ya kwenda kuisoam mpe mtu mwingine aisome "trust me" utakutana na makosa tuu
 
kweli mkuu nadhani hapo kwenye red ulitaka kumaanisha 'kuisoma'
hata hivyo asante
 
Issue siyo dictionary; wengi huwa hatuna tabia ya kuludia kusoma tulichooandika. Na hata kama tukiludia makosa ya kibinadamu hayakosekani. Ndiyo maana kama unaandika mfano Presentation kabla ya kwenda kuisoam mpe mtu mwingine aisome "trust me" utakutana na makosa tuu

kuludia-kurudia,kuisoam-kuisoma kheee nimeamini kuwa kuna wengi hawapendi rudia walichokwisha kukiandika,wakumwitu una haraka ya wapi hadi uandike kizuzu namna hiyo,we unadhani ktk jf kuna mazuzu au?penda kuandika post yako then unaangalia makosa ya typing then unayarekebisha ,kumbuka upo ktk forum ya great thinkers and you should try be like great thinker ,am out.
 
Issue siyo dictionary; wengi huwa hatuna tabia ya kuludia kusoma tulichooandika. Na hata kama tukiludia makosa ya kibinadamu hayakosekani. Ndiyo maana kama unaandika mfano Presentation kabla ya kwenda kuisoam mpe mtu mwingine aisome "trust me" utakutana na makosa tuu

Kweli Mkuu hapo kwenye Red nafikiri ulitaka kuandika Kurudia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom