FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

FIRST MULTIPLE ROUND BUT NOT CONFIRM IN ANY INSTITUTION

Kama una file ni vema ukaweka mkuu, link inakataa kufunguka
 
Hivi inakuwaje hizi mamb, watu tumeconfirm vyuo na profile zinaonyesha tiali afu tcu wanatoa orodha hatuj confirm
 
Hivi inakuwaje hizi mamb, watu tumeconfirm vyuo na profile zinaonyesha tiali afu tcu wanatoa orodha hatuj confirm

kama uliconfirm bila code hairuhusiwi, maana ukishaconfirm majna yanarud TCU na code uliyotumia kuona kama vina match.
 
Soma hapo nilipo highlight kaka
Screenshot_20180924-205958.jpg
 
Fungua hilo tangazo la mwisho la TCU ndani yake
Dah mkuu tangazo la mwisho la tcu mbona hio habari haipo mkuu? Maana ni tangazo la kutangaza matokeo ya awamu ya pili na kufungua awamu ya tatu basi hio habari kweli tena nimepekua tcu yote haipo kabisa!
 
Back
Top Bottom