First love

Nimesema nini?

Utaingia na staili gani nikukubalie ?
Mimi nakuja ,nasimama mbele ya mlango wa moyo wako , nabisha hodi kwa sauti ilojaa mapenzi na furaha ,, nakuita jina unfungulie mlango !!
Siku utakayofungua nitaingia ,, usipofungua nitarudi nikanywe maji nijipange tena.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…