First love

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,126
Reaction score
5,761
Tukumbushane Mpenzi na mapenzi ya mwanzo.
Mimi nakumbuka kipindi hicho nilikuwa naogopa hata mtu akinisogelea .
Unakuta naaga naenda kwetu .
Ukiniambia i love you naona nimeambiwa labda nimeshinda labda milioni kumi nakuendelea.
Kipindi hicho aliyekuwa mpenzi wangu anakuja na kadi na chocolate kadi hiyo imepuliziwa harufu nzuri.
Halafu siku zingine anakutoa out mtu ukale raha ila akikusogelea tu unaaga.
Aibu atataka mengine hapo hujui hata condom inavaliwaje au ikoje kwandani yaani.
Mara analeta ua jekundu au pink siku zingine anakuja kwenu mnaspend tu kukimbizana hadi mtu anaona kapata kweli.
Udogo raha mtu unaliwa halafu huna chakuwaza eti wewe utapata chakula wapi .
Msosi upo tu halafu kesho unaenda tena kulambwa mara uanze kiburi umejua mema na mabaya yaani.
Acha tu first love wangu sijui hata yuko wapi.
je nyie mnakumbuka nini?
Kwenye mwanzo wa safari yenu ya mapenzi?
 
Usiku wa manane huu.

Unaitwa katoto kazuri afu unamuwaza first love ambae kwa sasa ni mtu asiejulikana.

Huna utoto wowote ng'ooooooooo, vitoto vizuri sasa hivi vinaamshwa vikasusu.

Umri umeenda you are reminiscing the past that was so dear but couldn't hold on too forever.

Lala tu sweetie, don't focus too much on the past.
 
Wengine tulianza kujaribishia kwenye ya mbuzi, sasa sijui hapa tutasimulia nini wallah....[emoji25] [emoji25]
 
Darasa la tatu C,
Hapa ndio nahisi hisia za kupenda zilikuwa za kweli. Ingawa ilikuwa no sex but ile unapewa sh. 50 ya shule basi ukinunua bumunda nimpelekee yeye.
Yeye akipewa hela hivyo hivyo. Kwao walikuwa wanatendence ya kupika maandazi. Mara nyingi lazima aniletee.

Siku ikihapends nina mia mbili kuna bibi alikuwa anauza vichips flani sh mia. Namnunulia.

Shuleni kulikuwa na tabia baada ya kutoka shule watu wanaenda nyuma ya shule kupigana. Siku ilikuwa zamu yangu, kuna jamaa alinitwanga moja ya pua, akili ilipotea gafla kuja kujitambua watu wengine wote walikuwa wamekimbia amebaki yeye leso yake imejaa damu zangu za puani.

Ushenzi ulianza pale tulipo pangiwa shule za kata tofauti. Ikawa kuonana kwa mbinde, hakukuwa na simu enzi hizo....

Now ameolewa..........

Sijui ni utoto ama ila ndio first love ya kweli, yani nipo radhi nishinde njaa yeye ale. More than 70% ya tuhela twangu nampa kimoyo safi bila kutaka chochote from her.
Siku hizi hata hela ya vocha kumpa mtu ni kwa mbinde saana.
 
Story nzuri hata vocha ni kazi kupata ila umenikumbusha mbali pale ambapo watu wanaenda nyuma ya shule wanazipiga sisi huku tulikuwa ni nyuma ya kanisa siunajua ukipangiwa shule ya wameru hadi mawe.
Unatwanga nayo mpaka .
 
Umeona nilipoamshwa kususu mimi ni kaona nirushe huu ubuyu.
 
Shule za kata? Wewe ni wa 2000 bila shaka
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ