Mpaka sasa toka uhuru Tanzania ina first lady wa4, akiwepo mama nyerere, mama mwinyi, mama mkapa na mama kikwete! Na sasa muda siyo mrefu atapatikana wa 5...
kwa mahesabu ya haraka haraka aweza kuwa mama lowasa, slaa au mama pinda! Sijaju ni kwa nini mama nyerer pamoja na umri wake imekuwa ngumu kumsahau kama ilivyo kwa mafirst lady wengine... mama kikwete inaonekana atasaulika mapema hata kabla ya octobaer kufika. hivi mama mwinyi yuko wapi, je kuna kumbukumbu yoyote ya alichokifanya akiwa Ikulu?
Je mvuto wa 1st lady hutengenezwa na rais mwenyewe au shughuri zake anazofanya IKULU kama mke wa rais!