First lady wa CHADEMA mbona hatumjui?

First lady wa CHADEMA mbona hatumjui?

First lady atoke wapi? Lissu ikulu akafanye Nini? Au mnadhani sheli pale..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
nimeongea kwa hasira .

Duh, hasira yako kiboko; umeua kilichokufa tayari![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Muhimu: Mke wa TAL alimuuguza kwa upendo mumewe aliyetaka kuuliwa na Ccm! Na atasimama tena na kamanda ktk kampeni za kumwondoa Stone ikulu!

You sound like Trump’s copycat! Unsubstantiated allegations za design hii zikisikika kutoka kwa Bwana Trump haziwezi kushangaza.
 
Anajijua hawezi kuja kuwa rais wa JMT sasa uyo 'Festi ledi' wa nini na amepeleke wapi.
 
Back
Top Bottom