First lady wa CHADEMA mbona hatumjui?

First lady wa CHADEMA mbona hatumjui?

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,838
Wagombea wa Viti vya Uraisi mpaka hata wakati mwingine Ubunge hujitokeza hadharani na wake zao, mbona mgombea CHADEMA, Tundu Lissu Mke wake hatumjui na wala hajawahi kutoka naye kwenye matukio muhimu tukamjua, future first lady'?

1598545798394.png

Membe na Mke wake
1598545883925.png
 
Hahahahahaa huyu si ndo alisema tusiingilie faragha za watu....
 
Wagombea wa Viti vya Uraisi mpaka hata wakati mwingine Ubunge hujitokeza hadharani na wake zao, mbona mgombea chadema Tundu Lisu Mke wake hatumjui na wala hajawahi kutoka naye kwenye matukio muhimu tukamjua ,,future first lady''?

View attachment 1549877

Membe na Mke wake
View attachment 1549878

Baadhi ya wanaCCM mna ujinga mwingi asee!

Mko idle hadi mnajadili mambo yanayoshangaza,sasa mke wa mtu unataka kumjua ili iweje?(ambapo kiuhalisia unamjua)

Jana kuna mwenzenu nae kapost hapa eti anasikia raha kuona picha ya Magufuli kuwa gengeni
 
Nimecheka sana anasikia raha mwenyekiti wake ameenda gengeni
 
Mke amekata tamaa. Anajua kua lisu hakubaliki na hata shinda uchaguzi. Tar 29 jemedari wetu Magufuli na mama mwenye heshima zake mama janeth tutawaona live.
 
Muhimu: Mke wa TAL alimuuguza kwa upendo mumewe aliyetaka kuuliwa na Ccm! Na atasimama tena na kamanda katika kampeni za kumwondoa Stone ikulu!
 
Baadhi ya wanaCCM mna ujinga mwingi asee!

Mko idle hadi mnajadili mambo yanayoshangaza,sasa mke wa mtu unataka kumjua ili iweje?(ambapo kiuhalisia unamjua)

Jana kuna mwenzenu nae kapost hapa eti anasikia raha kuona picha ya Magufuli kuwa gengeni
Joanah my ribs🤣🤣🤣sijaiona hiyo khaa🤣🤣🤣gengeni anafanyaje
 
Back
Top Bottom