Siasaniupendo
Member
- Apr 2, 2012
- 20
- 7
hawa walimu inabidi tuwape za uso mana wamezidi! Kila siku kulalamika lalamika hawachukui hatua yoyote, wanategemea huruma ya mama Salma! Kila mtu aipiganie nafsi yake waige mfano kwa Madaktari.Angel Msoffe umeua kabisa! Umemkoma nyani- source le mutuz
You have said it all Angel!Mbona anapokujaga huko mashuleni kumuuzia mumewe sera hamumpagi vidonge vyake!? Kazi yenu ni kufunga watoto"wanafunzi"vibwebwe na kuwaambia wamwimbie nyimbo za kumpongeza! Nyie walimu nyie kinachowatesa ni uoga na unafiki.
Mbona anapokujaga huko mashuleni kumuuzia mumewe sera hamumpagi vidonge vyake!? Kazi yenu ni kufunga watoto"wanafunzi"vibwebwe na kuwaambia wamwimbie nyimbo za kumpongeza! Nyie walimu nyie kinachowatesa ni uoga na unafiki.
upuuzi mtupu....sasa yeye ni nani ? Ni just mke tu..hiyo first lady ni title tu hana uwezo huo...usimchukie mtu mpaka basi tu...ogopa mungu...alivyo na mzaha hata kwenye mambo ya msingi mbona atakenua kama miss tanzania tuu
Woga na unafiki una sababu. Wanauma na kupuliza kwa sababu wengi hawana sifa za kuwa walimu in the first place. Wakikazania kuuliza mshahara watadaiwa kupeleka vyeti! Wengi wao ni aibu tupu. "Usile na kipofu ukamkamata mkono" Serikali ni kipofu, hawataki kuishika mkono.
Mween. nakuhakikishia katika sekta yenye watu wanaoqualify tena wasomi ni elimu, hii ni sehemu utakayopata watu wenye vyeti hadi PHD. sisi waalim tuko hivi tulifundishwa kuwa na nidham sana na pia tulifundishwa kujiheshimu ingawa sasa ile heshima imetumika kama kamba ya kutunyonga. ipo siku tutaamka na sisi manake ni binadami na uvumilivu huwa unamipaka yake.
Ni kweli elimu kuna watu wamesoma sana lakini kumbuka waalimu wa shule za msingi ndio wengi na wengi wao hawana sifa za kuwa waalimu.Mimi ni mwalimu kwa kitaaluma(UDSM) sikumbuki kama nilifundishwa kuogopa kudai haki zangu!!Waalimu wengi ni wanafiki na waoga ndo maana hadi leo siutaki huo ualimu!
upuuzi mtupu....sasa yeye ni nani ? Ni just mke tu..hiyo first lady ni title tu hana uwezo huo...usimchukie mtu mpaka basi tu...ogopa mungu...