First Lady akiwa kazini

pingli-nywee

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
11,923
Reaction score
13,355
Throwback memes: 'Musee' alipogoma kuhudhuria mdahalo wa wagombea urais, kabla ya uchaguzi kule Kenya. πŸ™‚πŸ™‚πŸ™‚
[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Huwa unatizama Churchill Show? Safi sana. Tazama clip zao za zamani. Alihojiwa kwenye Churchill Show kisha akachapa request ya wimbo wa reggae, UB40. [emoji38]
na wish sana na magu angekuwa kama huyo wa kenya au Mugabe na zile maneno yake kwenye page zake
 
itabidi na magu tumualike ze comedi
Hahaha eti Ze comedy. πŸ˜€
Itakuwa show kali sana hiyo.
na wish sana na magu angekuwa kama huyo wa kenya au Mugabe na zile maneno yake kwenye page zake
Huo ulikuwa ni utani tu. Haya mambo ya mitandao ya kijamii huwa hawana wakati nao. Kuna watu wameajiriwa kushughulikia mambo kama hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…