By nduka:
Mkuu uwezekano wa kupigwa ngeta
ulimalizika toka nilipofikia kuwa
milionea miaka tisa iliyopita. Ninatumia
zaidi ya milioni sita kwa mwezi kwa
ulinzi binafsi ikifikia mahala wapiga
ngeta wanaweza kunisogelea itabidi
nijitizame upya.
By me:
Aisee!!!!!!