FIrst comment ya post says it all

FIrst comment ya post says it all

Stroke

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2012
Posts
38,561
Reaction score
48,908
First comment ya post yoyote hapa huonyesha mtiririko wa mada utakuwaje, jaribu kuona ni kwa namna gani wachangiaji wengine wamechangia mada kulingana na comment ya kwanza katika mada.

Mf. mchangiaji wa kwanza akisiliba , basi asilimia kubwa ya wachangiaji watachangia kulingana na comment hiyo ya kwanza
 
hii inatokana kuwa watanzania wengi akili zetu ni za ku copy na ku paste yani huwa hatupendi kuumiza vichwa vyetu kabisa... hata kwenye mambo madogo...
 
Pia mawazo yetu hayajitegemei tunaburuzwa na mitandao na makundi yetu hasa hasa ya kisiasa mfano akipost Msalani basi wanamtandao wote wa ccm watafagilia hata kama ni pumba pia akija mdau wa chadema pia wachangiaji hawatajali point ila kumpa cover mwenzao
 
Na ndivyo ilivyo hata kwenye hot national issues, yakichotwa mabilioni na wajanja wanatafuta namna ya kuhamisha mawazo ya public kwenda kwenye mada itakayosiliba kabisa kashfa
 
acha uongo wewe me comment ya kwanza nilitukana next comments none of them!
 
First comment ya post yoyote hapa huonyesha mtiririko wa mada utakuwaje, jaribu kuona ni kwa namna gani wachangiaji wengine wamechangia mada kulingana na comment ya kwanza katika mada.

Mf. mchangiaji wa kwanza akisiliba , basi asilimia kubwa ya wachangiaji watachangia kulingana na comment hiyo ya kwanza

sawa huu ni mtazamo ulioupata baada ya kudadisi mtiliriko wa mada mbalimbali.
Pendekezo lako kama suruhisho ni nini?
Mchango wako wa mawazo kwa ulichokiona ni upi?
Matarajio yako toka kwa wachangiaji ni yapi?

Kiufupi Mada yako na nyingi zinazoletwa humu hazina wigo wa kumuongoza kwa hiyo wachangiaji wa awali wanaweka wigo na kuongoza uelewa wa wanaofuata.
 
Back
Top Bottom