JF habari,
Kichwa cha habari kinahusika. jamani mimi sikua naamini hili, mtu wa kwanza kumpenda, na ukipenda kwa dhati,
upendo hua hauishi hata ukija kupata mwingine.
Nimefikia kuandika ili kupata maoni na uzoef wenu pia manake nimefika wakti sasa nashindwa kuamini
kama saikolojia yangu na moyo wangu vipo sawa.
Nilishapenda mara 1 tu kwa dhati. hii ilikua mwaka 2007, hata hivyo sikufanikiwa kua na huyo nilie angukia kwake
manake alikua na mtu tyari. (kaolewa mwezi wa nane mwaka huu).
Lakini pamoja na kurealize na kukubali katika akili na moyo wangu kua nilimpenda ila imeshindikana kua
nae, bado hadi leo me nampenda(kwa sasa ni mke halali wa mtu, kiimani, sheria, na tamaduni)
na ni kama nieshindwa kabisa kupenda tena ingawa natamani sana nipende.
Kiukweli sio kua naumia, ila najiuliza hali kama hii iataendelea hadi lini, na ni ukweli kua sometimes mtu unatamani kua
na mapenzi ya dhati na rasmi.
Hivi jamani hii ndo kusema first true love never die??
hatukuachana kwasababu hatukuwahi kuwa wapenzi.mh... Nafikiri inategemea mliachana vp mi kidume changu ckikumbuki hata robo japo kuwa nilikuwa nampenda sana
asante mkuu.Kunamakala moja ntajitahid kuianda nilisoma mahali nikaipenda sana bila shaka itakuwa msaada kwako, nikimalza kuandaa ntakupm
Hamna kupendana sikuhizi,tunahifadhiana na kusaidiana huduma za kimwili tu nani amewaloga nyie kuna mapenzi now days ni kuviziana tu kwenye mioyo.
Niliyempenda wa kwanza mpaka leo nampenda. Na akirudi na kuniambia ananipenda, ndoa yangu na mama matesha itakuwa hatarini.JF habari,
Kichwa cha habari kinahusika. jamani mimi sikua naamini hili, mtu wa kwanza kumpenda, na ukipenda kwa dhati,
upendo hua hauishi hata ukija kupata mwingine.
Nimefikia kuandika ili kupata maoni na uzoef wenu pia manake nimefika wakti sasa nashindwa kuamini
kama saikolojia yangu na moyo wangu vipo sawa.
Nilishapenda mara 1 tu kwa dhati. hii ilikua mwaka 2007, hata hivyo sikufanikiwa kua na huyo nilie angukia kwake
manake alikua na mtu tyari. (kaolewa mwezi wa nane mwaka huu).
Lakini pamoja na kurealize na kukubali katika akili na moyo wangu kua nilimpenda ila imeshindikana kua
nae, bado hadi leo me nampenda(kwa sasa ni mke halali wa mtu, kiimani, sheria, na tamaduni)
na ni kama nieshindwa kabisa kupenda tena ingawa natamani sana nipende.
Kiukweli sio kua naumia, ila najiuliza hali kama hii iataendelea hadi lini, na ni ukweli kua sometimes mtu unatamani kua
na mapenzi ya dhati na rasmi.
Hivi jamani hii ndo kusema first true love never die??
mh... Nafikiri inategemea mliachana vp mi kidume changu ckikumbuki hata robo japo kuwa nilikuwa nampenda sana
Mapenzi ya kweli yalishaisha zamani sana!