Ni miaka 3 sasa ninakatwa elfu30 kila mwaka lakini sijawahi kupewa fire extinguisher.. Na nikikutana na askari wa barabarani wananiuliza iyo fire xtngsh na kama huna basi unalipishwa fine.mh waziri husika lione hili ni uonevu kwa wenye magari..
Walinisimamisha wakaniuliza huo mtungi wa zimamoto, nilipotoa akasema eti mdogo hautoshi. Nikamuuliza wewe na mzungu aliye tengeneza, nani mwenye akili? Nikaweka gia na kuondoka.
Hilo tozo la fire extinguisher huwa sijui mantiki yake, kiukweli ni wizi mtupu kama ule wa stika za wiki ya nenda kwa usalama ambazo huuzwa na machinga mitaani, tunaomba mamlaka husika zijitokeze kujibu haya malalamiko
Mkuu kwa kweli huu ni wizi tena wa mchaana wahusika wote wakamatwe na hili jipu litumbuliwe tena bila ganzi!
Huu ni wizi mchana kweupe! Kwa kweli mimi binafsi nimekuwa nikitafakari sana, inakuwaje unachukua pesa ya fire extinguisher afu humpi mtu kifaa chenyewe? Na maisha yanaendelea tu kama kawaida?
Baadhi yetu wanaweza kuona hiyo hela ni ndogo na wakapuuza, lakini kiukweli ni pesa nyingi sana ikikusanywa!
Waziri wa wizara husika atuondolee hii kero, kama vp watafute authorised distributors wa hizi fire extinguisher ili mtu akilipia aende na risiti kuchukua then huyu supplier yeye analipwa na serikali kupitia makusanyo waliyoyafanya.
Hii itasaidia kwanza kutoa kitu chenye ubora unaotakiwa na kupunguza usumbufu wa askari wa barabarani.
Nyie wote mnaolaumu ni wapuuzi? Hiyo ni sheria imepitishwa bungeni, waulizeni viongozi wenu mliowachagua.....unalipa ada ya zimamoto then unanunua fire extinguisher kwa hela yako
Muwe mnauliza wahusika au muwe mnatafuta taarifa sahihi. Ile hela wanayokata TRA ni fire safety inspection fee, ambay [inspection] inafanywa na jeshi la zimamoto,inspection hio inakagua kama gari lako liko salama na lina vifaa vya kuzima moto.
Kumbuka,hio sio hela ya fire extinguisher,ni hela ya ukaguzi,nunua fire extinguisher yako nenda nayo ukakaguliwe gari lako na unapewa certificate kuonyesha gari liko OK, siku likiungua ukikutana na insurer watata ndio utajua maana ya hio certificate.
Sio wapuuzi mkuu, wengi hawajui hii kitu.
30'000:00!!?
Kwani ukaguzi unachukua siku ngapi?
Nani mjinga katika karne hii asiyejua umuhimu wa kuwa na a functioning fire extinguisher kwa ajili ya usalama wake mwenyewe na gari lake
Gari ambalo thamani yake ni kubwa kuliko mtungi wa kuzima moto hukaguliwa kwa ada ya shs 3'000++, mtungi wenye thamani ndogo kuliko chombo kinacholindwa unakaguliwa kwa 30'000
Hebu tupatieni mchanganuo wa hiyo 30'000 inavyotumika kwenye hiyo inspection ili twende pamoja kama kweli mpo hapa kwa lengo la kutoa elimu
Kuna siku nimeambiwa maintenence ya mtungi ni shs 20'000 nikaona bora kwenda kununua mpya

narudi palepale kua viongozi wenu mliowachagua ndio walipitisha hii sheria, so haijalishi inspection unafanyiwa mda gani, na hujui wanaokufanyia wanatumia utaalamugani, pia hyo hela jua inaenda serikalini kama kodi zingne
narudi palepale kua viongozi wenu mliowachagua ndio walipitisha hii sheria, so haijalishi inspection unafanyiwa mda gani, na hujui wanaokufanyia wanatumia utaalamugani, pia hyo hela jua inaenda serikalini kama kodi zingne
Muwe mnauliza wahusika au muwe mnatafuta taarifa sahihi. Ile hela wanayokata TRA ni fire safety inspection fee, ambay [inspection] inafanywa na jeshi la zimamoto,inspection hio inakagua kama gari lako liko salama na lina vifaa vya kuzima moto.
Kumbuka,hio sio hela ya fire extinguisher,ni hela ya ukaguzi,nunua fire extinguisher yako nenda nayo ukakaguliwe gari lako na unapewa certificate kuonyesha gari liko OK, siku likiungua ukikutana na insurer watata ndio utajua maana ya hio certificate.
Sio wapuuzi mkuu, wengi hawajui hii kitu.
Acha hizo wewe gari ikiungua na hizo certificate nazo zinaungua. Huyo insurer mtata atakuwa anatafuta rushwa tu...
hii inaonyesha upeo wako.
Hata wewe umeonyesha upeo wako