Trillion
JF-Expert Member
- Apr 24, 2018
- 3,329
- 7,498
Kelele hizo za kuogopa kupigwa mande, Finland na Sweden wanajiunga NATO, na hakuna kitu atafanya, apige sasa nchi za umoja wa NATO tayari aone atavyopigwa mande Urusi , na ndio mwisho wa Putin.Finland bado maamuzi yao wanayafikiria mara mbili mbili kabla ya ku act.
Russia wameshawapa taarifa kuwa endapo wakifanya huo ujinga basi watajiletea wenyewe matatizo,Russia wapo tayari kuingia vitani na Finland kama watachukua huo uamuzi.
Ngoja tusubiri
View attachment 2183079
Amewaotea Ukraine mshezi huyu.

