Finland kujiunga NATO

Finland kujiunga NATO

Ole wao !

images - 2022-04-10T223704.773.jpeg
 
Finland bado maamuzi yao wanayafikiria mara mbili mbili kabla ya ku act.
Russia wameshawapa taarifa kuwa endapo wakifanya huo ujinga basi watajiletea wenyewe matatizo,Russia wapo tayari kuingia vitani na Finland kama watachukua huo uamuzi.
Ngoja tusubiri

View attachment 2183079
Umerogwa wewe ,unajua hao Finland walichomfanya alivyojaribu kuwavamia ?
 
Finland last year alinunua F-35 baada ya kuwasumbua Boeing na Saab kwenye tender. It's better wasijiunge Russia itapata justification za kuzidisha fujo kama Ujerumani ilivyokuwa nazo kuanzisha WW2. Na ubaya Warusi wa kawaida wanapenda vita miaka yote hilo wanasifika. Haitashangaza wakiamini wanaweza pigana multiple fronts.

Ila kwa performance ya jeshi la Urusi ilivyo, nina imani 100% kwamba kilichotokea mwishoni mwa 1930s prior to WW2 kitarudia. USSR ilivamia Finland na ikashindwa vibaya mno. Finns are very good combatants. Ile Winter War sniper wao Simo Hayha aliua zaidi ya wanajeshi 500 waliojulikana, wengine hawakuthibitishwa. Nadhani ndio sniper mwenye rekodi kubwa duniani akifuatiwa na kina Vasily Zaytsev.

Poland nao wakitaka kujiunga na NATO sio wazembe. Tukirudi kwenye historia pale Westerplatte mwaka 1939 kundi fulani la Polish army lilikabiliana vilivyo na Nazi Germany. Kilichoiangusha Poland ni kuvamiwa na Ujerumani na USSR kwa pamoja ila bado wanajeshi kadhaa walitoroka wakaenda jiunga na allies ndio tunapata baadhi walikuwa vitengo vya siri vya codebreakers na wengine walikuwa ground wakiongozwa na General Sosabowsky (spelling sijui).
 
Putin atabaki na wanyonge wake Georgia, Hungary, Bulgaria sijui
Georgia hataki habari ya Russia naye mpango ni kujiunga na Nato, Hungary tayari iko Nato japo serikali yao ya sasa inaongozwa na waziri mkuu ambaye yuko sympathetic to Russia, Bulgaria ni Nato na hana kabisa mpango na Russia.

Tatizo ni kwamba mataifa yote huko Ulaya hayataki kuwa mshirika wa Russia kwa sababu ushirika naye hauna faida yoyote kwa nchi ila ni hasara tu.

Ziliwahi kujaribu kuwa na ushirika naye huko nyuma lakini zilichoambulia ni umasikini wa kutupwa na wakaona kwamba kama mshirika mkuu ndio maskini sasa atawasaidia na nini wakati na yeye kuna wanaoweza kumuwekea vikwazo na uchumi wake ukasambaratika. Hivyo wanaona hawana faida na Russia.
 
Georgia hataki habari ya Russia naye mpango ni kujiunga na Nato, Hungary tayari iko Nato japo serikali yao ya sasa inaongozwa na waziri mkuu ambaye yuko sympathetic to Russia, Bulgaria ni Nato na hana kabisa mpango na Russia.

Tatizo ni kwamba mataifa yote huko Ulaya hayataki kuwa mshirika wa Russia kwa sababu ushirika naye hauna faida yoyote kwa nchi ila ni hasara tu.

Ziliwahi kujaribu kuwa na ushirika naye huko nyuma lakini zilichoambulia ni umasikini wa kutupwa na wakaona kwamba kama mshirika mkuu ndio maskini sasa atawasaidia na nini wakati na yeye kuna wanaoweza kumuwekea vikwazo na uchumi wake ukasambaratika. Hivyo wanaona Russia hana faida kwao.
Hungary ipo NATO lkn ni watiifu kwa Russia.
 
Rudia hapo kwa Hungary... usisahau Turkey ni nato member, ila yalimpomkuta kwa kutaka kupinduliwa unajua aliyemuokoa? Ndio maana Turkey wapo Nato kimachale machale. Pale kwenye muungano wengine ni wasindikizaji tu...
 
Back
Top Bottom