Finland kujiunga NATO

Finland kujiunga NATO

Lord Diplock MR

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2015
Posts
1,446
Reaction score
3,318
Idhaa ya kiswahili ya DW inaripoti kuwa nchi jirani na Urusi wanayochangia mpaka ya Finland ipo mbioni kujiunga na Jumuiya ya lujihami ya nchi za Magharibi NATO.

Nchi hiyo imekuwa haifungamani na upande wowote Kwa miaka mingi toka ijitawale ikihofia kumkwaza jirani yake (Urusi). Kiu ya wananchi wa Finland kutaka nchi Yao ijiunge NATO imeongezeka mara dufu kufuatia uvamizi wa Russia nchini Ukraine.
 
Urusi kama sababu ya kuivamia ukraine ni kujiunga na nato basi kama yeye ni mwanaume aivamie na Finland
Screenshot_20220410-193138.jpg
 
Finland bado maamuzi yao wanayafikiria mara mbili mbili kabla ya ku act.
Russia wameshawapa taarifa kuwa endapo wakifanya huo ujinga basi watajiletea wenyewe matatizo,Russia wapo tayari kuingia vitani na Finland kama watachukua huo uamuzi.
Ngoja tusubiri

20220410_094124.jpg
 
Back
Top Bottom