Fingerprint zetu zipo mikono salama?

Dunia imekuwa kijiji, Lazima serikali iwe na udhibiti wa watu wake. Hatuwezi kuwa Taifa la kizamani wakati ndoto yetu kwenda Taifa la uchumi wa kati
 
Kama umesajili line kwa finger print ndio tayari ushapiga kura ya kesho kutwa october
 
Sasa wakiwa nazo hizo fingerprint siku si wanaamua tu kukupakazia msala kwa kuweka mfano wa fingerprint yako eneo la tukio
 
Hatari yake ni nini?!
 
🤔 tufanye kipi sasa?

Hili jambo kama unawaza vema liko linked zaidi na uchauzi ujao na zingine zinazofuata, Watumishi wa umma watakiona cha moto maana kila mtu atajulikana kama anaunga juhudi au hapana. Kama hilo liko hivo ajira nazo zitakuwa za kibauzi sana. Hili jambo lilivotiliwa mkazo si bure, there is a hidden agenda in the backside. Mi naishia hapo
 
Sijui ndio maana nimeuliza. Nimeacha finger prints sehemu nyingi sana bado sijapata athari ndio maana nataka nijue
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…