Fingerprint zetu zipo mikono salama?

Dunia imekuwa kijiji, Lazima serikali iwe na udhibiti wa watu wake. Hatuwezi kuwa Taifa la kizamani wakati ndoto yetu kwenda Taifa la uchumi wa kati
 
Kama umesajili line kwa finger print ndio tayari ushapiga kura ya kesho kutwa october
This is the year 2020. They're highly insisting to register our mobile sim cards.

Before that you've to provide your identities to NIDA. Unatoa fingerprint. NIDA ni ya serikali

Serikali ndio inayosimamia uchaguzi. Serikali ni ya CCM. It means unaipa CCM finger print zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa wakiwa nazo hizo fingerprint siku si wanaamua tu kukupakazia msala kwa kuweka mfano wa fingerprint yako eneo la tukio
 
This is the year 2020. They're highly insisting to register our mobile sim cards.

Before that you've to provide your identities to NIDA. Unatoa fingerprint. NIDA ni ya serikali

Serikali ndio inayosimamia uchaguzi. Serikali ni ya CCM. It means unaipa CCM finger print zako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hatari yake ni nini?!
 
🤔 tufanye kipi sasa?

Hili jambo kama unawaza vema liko linked zaidi na uchauzi ujao na zingine zinazofuata, Watumishi wa umma watakiona cha moto maana kila mtu atajulikana kama anaunga juhudi au hapana. Kama hilo liko hivo ajira nazo zitakuwa za kibauzi sana. Hili jambo lilivotiliwa mkazo si bure, there is a hidden agenda in the backside. Mi naishia hapo
 
Fatilia documentary moja inaitwa Cambridge Analytical uone ni jinsi gani ilivyo hatari watu wanavyotumia data za watu kusababisha mass impact

Hivi we unajua mtu mwenye Finger print zako anauwezo wa kui huck hiyo simu yako akaingia kwenye account zako na kufanya anavyotaka

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijui ndio maana nimeuliza. Nimeacha finger prints sehemu nyingi sana bado sijapata athari ndio maana nataka nijue
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom