Zinatakiwa fingerprints zisizidi miezi 6, kwanza unaelewa kazi ya fingerprint ni nini?JF ni kisima cha maarifa na wataalam mbalimbali naomba kufahamu Alama za vidole kwenye mfumo wa usajili wa mashine ya kusajili Alama za vidole je hufika muda na alama hizo ku expare(kufutika) automatically kwenye mfumo?
tumeona Nida Kuna ku expare kwa I'd kwamba baada ya miaka kumi tuta renew Card za Nida. karibu WanaJf kwa elimu na maarifa zaidi
Unaelewa ni kwa nini unachukuliwa alama za vidole?vyema mkuu kwa sura sawa, je alama za vidole nao hue expire?
fafanua kwahiyo ina expire date?Unaelewa ni kwa nini unachukuliwa alama za vidole?
Tusipokuwa na uelewa wa vitu vidogo kama hivi basi Ccm itatawala milele.
Fingerprint kazi yake kubwa ni kutrack criminal records, Sasa kwa akili ya kawaida tu uchukuwe fingerprint mwaka 2020 halafu umefanya uhalifu mwaka 2022 kama hakuna expire period ya fingerprint utawatrace vipi criminals?
Nadhani kadi zina-expire kwa sababu kwa huo muda, sura inakuwa ime-change kidogo, kwa hiyo wanataka sura ambayo ipo uptodate.
Kwa fingerprint sijui
Pia wewe hujaelewekaMwalimu wako alipata shida sana.
Unaelewa ni kwa nini unachukuliwa alama za vidole?
Tusipokuwa na uelewa wa vitu vidogo kama hivi basi Ccm itatawala milele.
Fingerprint kazi yake kubwa ni kutrack criminal records, Sasa kwa akili ya kawaida tu uchukuwe fingerprint mwaka 2020 halafu umefanya uhalifu mwaka 2022 kama hakuna expire period ya fingerprint utawatrace vipi criminals?
Ukifanya alama za vidole leo makao mkuu ya Polisi kuna muda maalum wa hiyo certificate kuwa valid, hata kwenye balozi ambazo hawafanyi current fingerprints mwenyewe wakati wa kuomba viza huwa certificate clearance ya fingerprint inatakiwa usiwe ya zaidi ya miezi 6 nyuma, hata ukiomba Leseni ya kumiliki bunduki pia wanataka fingerprints ambazo si za muda mrefu nyuma, hapa naongelea ile certificate na siyo zile alama za vidole, point iko hapo kwamba kuna expire date lakini fingerprints ni zilezile, hapa unategemea zinahitajika kwa issue gani?Alama za videlo hazina expire date kwenye mfumo labda zifutwe au mfumo uharibike beyond repair
Sababu ya ku renew ni mabadiliko ya details, sura nk
Si sahihi sana kusema alama za vidole ni kwa ajili ya ku track criminals(ingawaje inarahisisha sana zoezi hilo)......... itoshe tu kusema alama za vidole ni utambulisho bora wa mtu katika karne hii ikiwemo na DNA pamoja na Dental formula
Siku hizi maofisini una sign in and out kwa alama za vidole
Huko mbeleni tutaacha kabisa kutumia cards, itakua ni mwendo wa alama za vidole tu
Mbwembwe nyingi halafu unashindwa kuelezea kikamilifu , kwa maelezo yako fingerprint zina expire !!Unaelewa ni kwa nini unachukuliwa alama za vidole?
Tusipokuwa na uelewa wa vitu vidogo kama hivi basi Ccm itatawala milele.
Fingerprint kazi yake kubwa ni kutrack criminal records, Sasa kwa akili ya kawaida tu uchukuwe fingerprint mwaka 2020 halafu umefanya uhalifu mwaka 2022 kama hakuna expire period ya fingerprint utawatrace vipi criminals?
Uzi ukishaingia SIASA bhas kila la kheri wakuu🤧Unaelewa ni kwa nini unachukuliwa alama za vidole?
Tusipokuwa na uelewa wa vitu vidogo kama hivi basi Ccm itatawala milele.
Fingerprint kazi yake kubwa ni kutrack criminal records, Sasa kwa akili ya kawaida tu uchukuwe fingerprint mwaka 2020 halafu umefanya uhalifu mwaka 2022 kama hakuna expire period ya fingerprint utawatrace vipi criminals?
Hiyo unayosema ni fine tunning ya fingerprints , kwa ajili ya accuracy, yanaweza kutokea mabadiliko fulani labda kujikata kidonda n.k ambayo yatawezakufanya reading deviation kidogo ,Ukifanya alama za vidole leo makao mkuu ya Polisi kuna muda maalum wa hiyo certificate kuwa valid, hata kwenye balozi ambazo hawafanyi current fingerprints mwenyewe wakati wa kuomba viza huwa certificate clearance ya fingerprint inatakiwa usiwe ya zaidi ya miezi 6 nyuma, hata ukiomba Leseni ya kumiliki bunduki pia wanataka fingerprints ambazo si za muda mrefu nyuma, hapa naongelea ile certificate na siyo zile alama za vidole, point iko hapo kwamba kuna expire date lakini fingerprints ni zilezile, hapa unategemea zinahitajika kwa issue gani?