Che Mkira
Senior Member
- Jul 8, 2014
- 117
- 152
Wanajamvi habari?
Nimewahi kufanya makosa ya barabarani na kuandikiwa kulipa fine ya 30,000 mara tatu kwa nyakati tofauti. Lakini kutokana na sababu mbalimbali sijaweza kulipa mpaka hivi sasa.
Sijui natakiwa kulipa kiasi gani kwani nasikia ipo interest inayoongezeka na sijui namna ya kulipa kwani tayari nilishapoteza risiti za kulipa zenye namba za kumbukumbu.
Naomba Masada wenu kujua namna ya kujua deni langu, namna ya kulipa na kiwango kinachoongezeka usipolipa kwa wakati.