Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,415
- 12,627
Habari wana JF, mwenye uzoefu na hii kitu anisaidie. Nimeagiza gari ndogo Japan, bahati mbaya imekuja bila ile inspection certificate (inakuwa na chata ya JAAI), na kinachoonekana jamaa hawakuiinspect!
Hapa nitatokaje?
Fine ni kiasi gani jamani, maana sielewi chochote hapa.
Hapa nitatokaje?
Fine ni kiasi gani jamani, maana sielewi chochote hapa.