mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,342 Reaction score 137,959 Oct 27, 2021 #21 Extrovert said: Hahahahah choo kilikuwa paradise ya masela πππ Somo la wachawi kweli π Click to expand... Yah hesabu nlipata C ila nlipata kibabe sana Wakat wa mtihani wale johny kisomo tulikuwa Tunakula sahani moja nao Ila hesabu kwang ilikuwa pasuaa sanaa Hahaha Umenikumbusha wkt nasoma sangu sec headmaster mwl makande,tukiingia shule tunaishiaa chooni tu mpk muda wa kutoka tunatoka hahah aise Ova
Extrovert said: Hahahahah choo kilikuwa paradise ya masela πππ Somo la wachawi kweli π Click to expand... Yah hesabu nlipata C ila nlipata kibabe sana Wakat wa mtihani wale johny kisomo tulikuwa Tunakula sahani moja nao Ila hesabu kwang ilikuwa pasuaa sanaa Hahaha Umenikumbusha wkt nasoma sangu sec headmaster mwl makande,tukiingia shule tunaishiaa chooni tu mpk muda wa kutoka tunatoka hahah aise Ova
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,429 Reaction score 191,677 Oct 27, 2021 #22 Hahahahah inaonekana nguvu ya macho iko vizuri sana mzee baba! mrangi said: Yah hesabu nlipata C ila nlipata kibabe sana Wakat wa mtihani wale johny kisomo tulikuwa Tunakula sahani moja nao Ila hesabu kwang ilikuwa pasuaa sanaa Hahaha Umenikumbusha wkt nasoma sangu sec headmaster mwl makande,tukiingia shule tunaishiaa chooni tu mpk muda wa kutoka tunatoka hahah aise Ova Click to expand...
Hahahahah inaonekana nguvu ya macho iko vizuri sana mzee baba! mrangi said: Yah hesabu nlipata C ila nlipata kibabe sana Wakat wa mtihani wale johny kisomo tulikuwa Tunakula sahani moja nao Ila hesabu kwang ilikuwa pasuaa sanaa Hahaha Umenikumbusha wkt nasoma sangu sec headmaster mwl makande,tukiingia shule tunaishiaa chooni tu mpk muda wa kutoka tunatoka hahah aise Ova Click to expand...
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,342 Reaction score 137,959 Oct 27, 2021 #23 Extrovert said: Hahahahah inaonekana nguvu ya macho iko vizuri sana mzee baba! Click to expand... Hahah Maana bila hivyoo F unaiona ileee Ova
Extrovert said: Hahahahah inaonekana nguvu ya macho iko vizuri sana mzee baba! Click to expand... Hahah Maana bila hivyoo F unaiona ileee Ova
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,429 Reaction score 191,677 Oct 27, 2021 #24 mrangi said: Hahah Maana bila hivyoo F unaiona ileee Ova Click to expand... Mi nilichezea Fatuma mzee baba! Aikuwa na jinsi yani!π
mrangi said: Hahah Maana bila hivyoo F unaiona ileee Ova Click to expand... Mi nilichezea Fatuma mzee baba! Aikuwa na jinsi yani!π
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,342 Reaction score 137,959 Oct 27, 2021 #25 Extrovert said: Mi nilichezea Fatuma mzee baba! Aikuwa na jinsi yani!π Click to expand... Form 4 nlipga div 3 nqkmbka walimu walikuwa wanajiuliza hyu kaipatajepataje mbona shule mahudhurio hafif,test test hapaformππ Ila somo la hesabu naona walimu pia walichangia tuliogope jns ya ufundishaji wao Ova
Extrovert said: Mi nilichezea Fatuma mzee baba! Aikuwa na jinsi yani!π Click to expand... Form 4 nlipga div 3 nqkmbka walimu walikuwa wanajiuliza hyu kaipatajepataje mbona shule mahudhurio hafif,test test hapaformππ Ila somo la hesabu naona walimu pia walichangia tuliogope jns ya ufundishaji wao Ova
Suchack JF-Expert Member Joined May 11, 2020 Posts 2,412 Reaction score 4,878 Oct 27, 2021 #26 Extrovert said: Utani wa ngumi Click to expand... sio utani tu,ni dharau kabisa [emoji3]
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,429 Reaction score 191,677 Oct 27, 2021 #27 mrangi said: Form 4 nlipga div 3 nqkmbka walimu walikuwa wanajiuliza hyu kaipatajepataje mbona shule mahudhurio hafif,test test hapaformππ Ila somo la hesabu naona walimu pia walichangia tuliogope jns ya ufundishaji wao Ova Click to expand... Hesabu ni kama sindano za masaa, hazijawahi kuzoeleka
mrangi said: Form 4 nlipga div 3 nqkmbka walimu walikuwa wanajiuliza hyu kaipatajepataje mbona shule mahudhurio hafif,test test hapaformππ Ila somo la hesabu naona walimu pia walichangia tuliogope jns ya ufundishaji wao Ova Click to expand... Hesabu ni kama sindano za masaa, hazijawahi kuzoeleka
Kinyungu Platinum Member Joined Apr 6, 2008 Posts 22,679 Reaction score 45,691 Oct 27, 2021 #28 X=110β°
mrangi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2014 Posts 96,342 Reaction score 137,959 Oct 27, 2021 #29 Extrovert said: Hesabu ni kama sindano za masaa, hazijawahi kuzoeleka Click to expand... Naona zina wenyewe hizo Ova
Extrovert said: Hesabu ni kama sindano za masaa, hazijawahi kuzoeleka Click to expand... Naona zina wenyewe hizo Ova
Nyonzo bin mvule JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 2,464 Reaction score 7,080 Oct 27, 2021 #30 Somo la hesabu kwangu lilinikataa tangu darasa la nne,,, ila masela walikuwa wananitembezea majibu kwa kuwa walikuwa wanaogoa nongwa,, Sio kwamba nilikuwa mbabe hapana! Ila nikianza kulalamika kama hujanitembezea majibu unaweza ukalia
Somo la hesabu kwangu lilinikataa tangu darasa la nne,,, ila masela walikuwa wananitembezea majibu kwa kuwa walikuwa wanaogoa nongwa,, Sio kwamba nilikuwa mbabe hapana! Ila nikianza kulalamika kama hujanitembezea majibu unaweza ukalia