umeona?
Pale kwenye
x-2 =logx/log2
x-2 =log x (base 2) kusema
x-2 =x/2 sio kweli
2^x = 4x( 2 power x is equal to 4x).Show your working clearly.Any one who can solve it help me.
Draw the graph of Y=2^X and Y=4X utapata hyo value ya X.
Nimekusoma ilibidi niapply na log[SUB]2[/SUB]!Hauwezi ku cancel logarithms kihivyo.
hapo kwenye
x = l(4+x)/log2
x=4+x/2 sio kweli.there no such a law in logarithms
ni bahati mbaya au ni shule za kata? hivi kama log(x+4)/log 2 =(x+4)/2, je is t true that log100/log 10 =100/10 =10 na sio 2? Au ndo ninyi huwa mnadanganya sin 90/sin 30 =90/30 =3. rudini form two vijana?
Hebu prove kama nimekosea wapi
Mkuu, science haipo hivyo, Jibu ni sawa ama sio sawa, kama ni sawa basi hiyo law yangu inafanya kazi, achana na ujinga wakukariri
kuna maswali mengi ya kujiuliza hapo
1) ni nani alitengeneza hiyo kanuni ya Log
2) je unaamini kuwa hiyo kanuni ilianzia nyuma kwenda mbele, yaani jibu lilikuwa linajulikana na kisha ndio njia hiyo ya log ikatengenezwa
3) Unapofanya science jaribu kuwa neutral na free ili uweze kuleta changamoto mpya
It reminds me of those old good days....
1) Apply log ya base 10:
log2^x=log4x
xlog2=log4+logX
xlog2=log(4+x)
x=log(4+x)/log2
x=(4+x)/2
2x=4+x
x=4
Umekosea kwani ukihakikisha jibu haliji
1) Apply log ya base 10:
log2^x=log4x
xlog2=log4+logX
xlog2=log(4+x)
x=log(4+x)/log2
x=(4+x)/2
2x=4+x
x=4