tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
wadau hizi tetesi niliwahi kuzisikia kwamba hawa watu huwa hawaajiri watu wa UDSM hasa wenye upper 2nd,...mwanzo nilikuwa sikuamini na nikaapply nafasi za loan officer ambazo deadline yake ilikuwa february mwishoni..cha ajabu sijaitwa mpaka leo, nimeuliza watu wengine kaama wanne ambao nao waliapply nafasi hizo hizo, nao hawajaitwa...nilipowadadisi zaidi nikagundua kwamba wana upper second!!! Na sasa wameshatangaza kazi mpya http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=18006
Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?
Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?