FINCA wanaziogopa Upper second hasa za UDSM!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

FINCA wanaziogopa Upper second hasa za UDSM!?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by tindikalikali, Apr 9, 2012.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #1
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  wadau hizi tetesi niliwahi kuzisikia kwamba hawa watu huwa hawaajiri watu wa UDSM hasa wenye upper 2nd,...mwanzo nilikuwa sikuamini na nikaapply nafasi za loan officer ambazo deadline yake ilikuwa february mwishoni..cha ajabu sijaitwa mpaka leo, nimeuliza watu wengine kaama wanne ambao nao waliapply nafasi hizo hizo, nao hawajaitwa...nilipowadadisi zaidi nikagundua kwamba wana upper second!!! Na sasa wameshatangaza kazi mpya http://www.zoomtanzania.com/listingdetail?ListingID=18006

  Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?
   
 2. H

  HAMY-D JF-Expert Member

  #2
  Apr 9, 2012
  Joined: Sep 18, 2011
  Messages: 6,825
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Mbona watu wanapiga mzigo na pesa kama kawa kaka, now kuna waliopo kwenye training kwa hapa Dar wanafanya Ilala boma na watu wa UDSM wapo kadha kati ya wanaofanyiwa training na wanamatokeo mazuri tu, we vumilia na hilo bench kazi kama huna anaekujua basi BAHATI inahusika sana maana nw days kila mtu ni competent.
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,120
  Trophy Points: 280
  Si waajiri darasa la nne la mkoloni kama wanaogopa wasomi wa kizazi kipya!!!
   
 4. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  FINCA ndiyo nini?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,319
  Likes Received: 22,120
  Trophy Points: 280
  kibubu
   
 6. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #6
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Loan officer mnajua jamani? Ni ofisa mikopo ambae unazunguka mtaani kwenda kutafuta wateja wa mikopo na unawajazia form za mikopo then unapeleka PLC wanawadumbukizia na wewe unakula kamission yako ya 1% na isiyozidi mil20,usifikiri Loan officer ni kukaa ofisini na kupigwa kipupwe huku ukizunguka na kiti na kubonyeza laptop la hasha,na ndio maana hawawataki wanaogopa kukudisappoint.
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 9, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Financial Instution zinazotoa mikopo,ni kama

  1.Easy Investment
  2.Blue Finance
  3.Bayport
   
 8. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #8
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,681
  Likes Received: 2,740
  Trophy Points: 280
  Wa hovyo hao kabisa kwanza ma branch manager wao ni Vilaza Wa kutosha Ndo maana gf wangu was working there what a stupid organization!


   
 9. Mabwepande

  Mabwepande JF-Expert Member

  #9
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 230
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Fikra zako tu!! Kwani UDSM ndo kitu gani? Hadi wawaogope! Wewe umechinjiwa kaburini. Piga Kimyaaaaa!
   
 10. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #10
  Apr 9, 2012
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  FINCA inasimama badala ya nini?
   
 11. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #11
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nilijua watu kama wewe hamtakosa hapa.....sijashangaa.
   
 12. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #12
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  Inawezekana ikawa ndizo sababu za kuajiri kila watu kila mwezi
   
 13. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #13
  Apr 9, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  mkuu unaweza ukanipa sababu zinazofanya waajiri watu wapya kila mara? maana huwa haipiti hata miezi miwili wanatangaza nafasi mpya...
   
 14. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #14
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Financial International Community Assistance
   
 15. B

  Bandio Senior Member

  #15
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 19, 2012
  Messages: 101
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wacha mawazo mgando.
   
 16. ldd

  ldd JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2012
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 792
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Inawezekana maana ata sisi hatuajiri wanafunzi wa UDSM,coz ni wazito balaa,,,watu wanapewa maswali multiple na match items,,,so upper second ya UDSM ni gentlement ya SUA/UCLAS/MZUMBE,,,pia moshi nimeskia kuna chuo kinakuja juu zamani kilikua kinaitwa ushirika mitihani YA WAHASIBU Vijana wamefanya vizuri. UDSM ndo chuo kikuu cha ukahaba na ubraza men(usharo) leo unataka niajiri shoga au kahaba si atawamaliza staffs kwa n goma?????? panuka mawazo
   
 17. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,028
  Likes Received: 853
  Trophy Points: 280
  unagongwa.
   
 18. m

  masssaiboi JF-Expert Member

  #18
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 637
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 33
  Siyo kweli, inategemea na ukubwa wa kampuni, so usigeneralise
   
 19. U

  Uswe JF-Expert Member

  #19
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,201
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  kwamba ni vilaza kwa sababu your gf was working for them, au your gf was working for them ndio maana wao (finca) ni vilaza?
   
 20. Highlander

  Highlander JF-Expert Member

  #20
  Apr 9, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 3,094
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135  Mpendwa samahani kidogo. Hebu angalia kwenye common mistakes in english kama hiyo katika green imekaa sawa. Salima jamaa wa FINCA.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...