FINCA wanaziogopa Upper second hasa za UDSM!?

Status
Not open for further replies.
ha ha ha mtu wa SUA sijui MZUMBE anajisifu na hata kidhungu hakijui LOL!
Iddi na mabwepande nyie ni vilaza namba moja kati ya watu wote niliowahi kukutana nao. Mwandishi wala hajaikweza upper second ila ametoa wazo kulingana na kautafiti kake alikofanya kwa watu wengine wa UDSM wenye upper second sasa nyie vilaza mnaleta mashindano ya kipi chuo bora na kipi si bora.
Mie najua wengi huwa wanatamani kusomea UDSM sasa pale wanapoachwa kwenye selection ndo chuki na maneno ya kejeli yanapoanza juu ya UDSM.
Ongeeni logically sio kuropoka hovyo tu UDSM ndo chuo cha Tanzania yenye branch zake mikoani kama mzumbe,sua, Udom n.k
 
Bora wewe umeelewa nini namaanisha, mijitu inatokwa na povu bure...hii niimeiweka kama tetesi ambayo inaweza kuwa kweli aui isiwe kweli, badala ya kutoa facts wengine wanadhani nimekuja kuwatisha...
 
Yaani wanavichwa maji sana hawa tatizo wana inferiority complex juu ya watu wa UDSM so ili wajihami inabidi watoe kashfa za namna hiyo.
sasa kama huyu hapa chini anajielewa kweli, sijui ujinga na hizo bangi anzozisema ziko wapi kwenye hii topic..nikisema HANA ADABU nitakuwa nimekosea?

hii mitoto ya sikuhizi bana, yaani wewe umeona ukitaja udsm na upper second ndiyo watu wataogopa? sijui ni bangi ama petroli, jinga kabisa!
watu wanaajiriwa kwa vigezo, kama umekosa maana yake haujakidhi viwango
 
hizo financial instution ulizotaja ni mataperi wakubwa maana hizo riba zao utakimbia mwenyewe!!!
 
isije kuwa maneno ya mkosaji..sio lazima upate kila unachokihitaji..jifunze kuelewa kwanini umekosa next tm ujirekebishe, ukikosa ndio uanze kuchafua watu, ungepata je tungekuona humu JF ukilalama?? yasije kua yale ya kutemwa na demu wako halafu mtu unaanza kusema..aah demu gani yule kwanza malaya kweli bora nimemuacha..kumbe umeachika wewe na tabia zako mbaya..nawasilisha..
 
awa jamaa wa finca ni balaa ndugu zangu nilitaman sana kuapply ile ya management accountant lakini tangazo likarudiwa mara3 ndan ya miezi minne, you wander does this mean there are no compentent guys around au wana apply baada ya kuona hali ngumu wanasepa? na je ni kwa nini org kubwa kama hiyo wanashindwa kupata wataalam from within.
swala la upper second za UDSM, zingine za kupika mi nimesoma apo kuna watu tumewaona live man! ivo icho sio kigezo is a poor conclusion,
 
Ukiwa na attitude kama ya mtoa mada utapata shida kupata kazi. Maana si chuo wala GPa kinachofanya kazi bali ni mtizamo wako wa kazi. Ukiwa na hata diploma kama upo smart waweza fanya kazi ya mtu wa masters cha muhimu uwe na bidii ya kujifunza kazi kwani. Si zote A ni applicable makazini. Vijana kuweni makini na majigambo yenu mwisho wa siku mtasema wenye maisha mazuri ni wale tu wa UDSM.
 
majigambo yapo wapi? sisemi niajiriwe kwasababu ya upper second ila nashangaa wao kuogopa kuajiri watu kwa ajiri ya upper second...wengi mnaikwepa mada na kuanza kujadili mambo yasiyokuwapo...hizi ni tetesi zipo mtaani, na nilizipata kabla hata ya kuapply kwao.
 
Amakweli ukilala kwa siku moja zaidi lazima utaamshwa hata na jirani yako kama hujafa UDSM ni Uvty kama zilivyo zingine baba nawasilisha
 
HIlo nalitambua mkuu, ila nawashangaa hao jamaa wanapotaka kufanya UDSM iwe tofauti na vyuo vingine....
 
me nafikiri huyu jamaa anaongelea tetesi kwa hiyo tusi mhukumu! yeye ndivyo alivyosikia! japo hoja inaweza ikawa haina mashiko kabisa kwa sababu kwenye kazi swala la chuo na grade si vitu pekee vinavyo angaliwa! ajaribu kufatilia enteeviews tofauti ata ona, kwanza huwa hatuajiri chuo tuna ajiri mtu na kile alicho nacho kichwani maana kuna watu wanafaulu vizuri sana lakin kuwasilisha waliiosoma wanashindwa kwa hiyo mtu kama huyo atuwezi kumpa kazi,wengi wanakalili wakiwa vyuoni bila kuelewa ndio maana kwenye interview wanshindwa,sisi hatuwezi kufanya kazi na makaratasi yaliyo andikwa upper second,tunafanya kazi na mtu mwenye kitu kichwani siyo kwenye makaratasi.
 
Heshima kwenu wadogo zangu wote, kusema kweli nilikuwa na akili na mawazo kama yenu wakati natoka chuo, after college nilipata job direct through graduate recruitment program conducted by auditing firms, the things is that mwajiri aangalii umetoka chuo gani zaidi ya utaweza kufanya kazi zake, ye anachotaka ni X ifanyiwe kazi iwe Y haijalishi kama una diproma au la, halafu tunaoamini gpa ni tuliosoma bongo tu, kuna watoto wa kishua kibao kwenye firms wamesoma kiwanja hawana grade za kutisha wala nini but wanajua kazi mpaka unakubali, akiandika report ya assigment hadi raha au akifanya presentations wote tunanywea,

But all in all ni umaskini ndo unatufanya tuwaze hivi, but kiukweli kwenye proffessional world udsm, mzumbe, cbe au ifm haikubebi, unaajiriwa kwa uwezo binafsi, that's why proffessonal firms zinamix graduate mbali mbali kuanzia cbe, udsm, ifm etc na waliosoma kiwanja as kuna reports kama umesoma uswazi na hauna exposure hauzifanyi hata uwe kichwa vipi...

NOTE: Usitegemee chuo chochote cha kibongo kitakubeba katika soko la ajira zaidi ya uwezo wako binafsi ambao competitors unawazidi,,, katika kipindi hiki cha graduates wapo karibu kila nyumba
 
mkuu mi sisemi mtu afanye au apewe kazi kwa airi ya upper second....inavyosemekana hawa jamaa hawawaiti hata kwenye interview watu wa aina niliyosema....na ushaidi nni pale wanapotangaza nafasi hizo hizo killa mwezi...wakati applications za watu bado wanazo, inna maana katika cv zote wamekosa watu wenye sifa?
 
Heshima kwenu wadogo zangu wote, kusema kweli nilikuwa na akili na mawazo kama yenu wakati natoka chuo, after college nilipata job direct through graduate recruitment program conducted by auditing firms, the things is that mwajiri aangalii umetoka chuo gani zaidi ya utaweza kufanya kazi zake, ye anachotaka ni X ifanyiwe kazi iwe Y haijalishi kama una diproma au la, halafu tunaoamini gpa ni tuliosoma bongo tu, kuna watoto wa kishua kibao kwenye firms wamesoma kiwanja hawana grade za kutisha wala nini but wanajua kazi mpaka unakubali, akiandika report ya assigment hadi raha au akifanya presentations wote tunanywea,

But all in all ni umaskini ndo unatufanya tuwaze hivi, but kiukweli kwenye proffessional world udsm, mzumbe, cbe au ifm haikubebi, unaajiriwa kwa uwezo binafsi, that's why proffessonal firms zinamix graduate mbali mbali kuanzia cbe, udsm, ifm etc na waliosoma kiwanja as kuna reports kama umesoma uswazi na hauna exposure hauzifanyi hata uwe kichwa vipi...

NOTE: Usitegemee chuo chochote cha kibongo kitakubeba katika soko la ajira zaidi ya uwezo wako binafsi ambao competitors unawazidi,,, katika kipindi hiki cha graduates wapo karibu kila nyumba

Wabongo mbona mnapenda porojo? Kama hujui lolote kuhusu FINCA si bora ukae kimya....jaribu kuelewa post. Habari za kubebwa na chuo zinatoka wapi?
 
wadau hizi tetesi niliwahi kuzisikia kwamba hawa watu huwa hawaajiri watu wa UDSM hasa wenye upper 2nd,...mwanzo nilikuwa sikuamini na nikaapply nafasi za loan officer ambazo deadline yake ilikuwa february mwishoni..cha ajabu sijaitwa mpaka leo, nimeuliza watu wengine kaama wanne ambao nao waliapply nafasi hizo hizo, nao hawajaitwa...nilipowadadisi zaidi nikagundua kwamba wana upper second!!! Na sasa wameshatangaza kazi mpya Loan Officers Job in Arusha, Dar Es Salaam, Iringa, Mbeya, Mwanza, Tanga, Tanzania

Je maslahi ya hawa jamaa yakoje? Kama siyo maslahi kinachowakimbiza watu ni nini?

Na hilo ndio linalowaponza hamchukuliwi, mnapewa kazi badala ya kupiga mzigo unakaa siku nzima unajisifia nimesoma UDSM nina Upper Second. Halafu inawezekana wenzio wanaajiri First Class wewe umekazana kuadvertise hako ka Upper Second kako...
 
Mada haina base,hata kama unaweza kuwa na upper second yaweza ikawa waliokuwa wanaita watu hawakukuita kwa sababu zao binafsi au ulikuwa haukidhi vigezo walivyoweka na si kwamba upper second za UD zinaogopwa,hiyo ni poor reasoning mkuu au unataka kujikweza
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom