Umenichekesha sana mpaka mbavu zinaniuma.....nani kakuambia siku hizi watu wanaangalia tena GPA ndio upewe kazi?ngoja nikupanguse ujinga kijana,taasisi za kifedha,haswa microfinance institutions,huwa wanaajiri sana kwa kigezo cha uzoefu wa kazi na uwezo wako utaowashawishi kwamba unaweza kuwa sehemu ya faida kwao,taasisi za namna hii zimekuwa nyingi na ushindani umekuwa mkubwa kwenye kunyangananya wateja,kwa mfano,kijana kenda kufanya interview EFC,hapo bado anafanya kazi ACCESS kama loan officer,anatafuta maslahi zaidi,sasa pale EFC anajitetea kwamba tayari ana Portfolio kubwa na wateja wake wakimaliza mikopo yao ACCESS atawashawishi waamie EFC,hiyo ndo habari kila boss anataka kusikia,ndio maana unaona wanaoajiriwa wengi kama loan officers tayari walikuwa kwenye taasisi nyingine za namna hiyo,sisemi kwamba freshers hawaajiriwi au hawaajiriki!nasema GPA sio kigezo cha kupata kazi au eti sababu ni ya UDSM!